Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Habar za majukumu ndug zangu,

Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.

Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba

Halafu asilimia 98% ya maneno hayana ukweli
Lengo n nn hasa

NIpeni mawazo yenu jamn maana uyu rafiki yangu,jamaa yang nmemchoka Kwa tabia yake ya kunikatisha tamaa Kwa Binti ninae mpenda yeye anatoa negative fixture ambazo sio hata za uhakika

Je? uliwah kukutana na swala kama ili na ulichukua hatua gani
 
Sisapoti tabia ya kukiss and tell ila kama humuamini mshkaji wako sikushauri umuamini huyo ke.
 
Anatoa negative fixture kuhusu mpenzi wako kivipi? Wahuni wanajipigia,ametoa mimba ama ni mchafu?ama hajui kukataa?
Yaah nikama hivyo but asilomia kubwa ya hayo maneno hayana ukwel
 
Sasa si umuambie ukweli huyo rafiki ako, kuwa hutaki porojo zake kuhusu demu wako. Lol
 
Habar za majukumu ndug zangu,

Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.

Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba

Halafu asilimia 98% ya maneno hayana ukweli
Lengo n nn hasa

NIpeni mawazo yenu jamn maana uyu rafiki yangu,jamaa yang nmemchoka Kwa tabia yake ya kunikatisha tamaa Kwa Binti ninae mpenda yeye anatoa negative fixture ambazo sio hata za uhakika

Je? uliwah kukutana na swala kama ili na ulichukua hatua gani
Uyo mshkaji wako amekuambia ukweli ila ndio ivyo tena simp kama nyie mkisha-fall in love kama Azizi Kii mnaingiaga mtoni kwa miguu yote miwili bila kupima kina cha maji. Time will tell
 
DAaah hatar kwangu
 
si ufuatilie ujue kama ni kweli, ametoa mimba, mama huruma au mchafu, hajui kukata maana huwezi kusema ni uongo mambo ya kukata si mpaka ushuhudie? kwani wewe unaweza kukutana na binti tu au mwanamke ukasema hajui kukata viuono si mpaka utest mitambo? kwahiyo usiipuuzie rafiki yako anakupenda, fuatilia ujue ukweli wake, kama muongo unamchana tu ukweli
 
Asante

Mkuu
 
Back
Top Bottom