Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Kamwe hakuna kukubali juu ya kuchepuka,
Ibara ya tatu kifungu kidogo cha 63 A, kinaelekeza kuwa mwanaume kuchepuka ni msaada kwa kwa Ke, hivyo Me ukitoa dyudyu ni marufuku kukiri kwa mkeo,
Zaidi usiwe unamjibu kisha ukipata free chance mchape nao mpaka asahau kama kuna mwenzie ulimsaidia kumpunguzia nyegezi
 
jamaa akitoka na ndoa imeisha kisa mavuzi janabi yote ya yote mi nishaanza jipongeza ushindi wa lisu hapa bar kesho kwenye mstari nazani ntakua wa kwanza naenda na bakuri la supu
 
Kwa sisi wachaga wenye nchi hii Mwanamke akisema tu rudi kwa huyo aliekunyoa tunarudi fasta. Kw wale wasukuma kama mleta mada ndio wanalizwa lizwa na wanawake.

Ili kuondokana na huu ujinga Sisi CCM asili tu nasema chagua Lissu ili tupate kuijenga CCM mpya.
 
Ni makosa makubwa sana kumpiga mwanamke.
Mwanamke mpige kisaikolojia ila kamwe usijaribu kunyanyua mkono wako kumrushia kofi, ngumi ama chochote kwenye mwili wake maana kufanya hivo ni kujidhalilisha wewe mwanaume.
 
Wewe ndiwe ulimunyowa...kwanini ikuume.. unaonekana hauna mume.. au ulichepuka.. kuumia kunakuhusu.. ukasumuliwaje maneno hayo yote na kunukuu? Akiwa jela au!!!!.. wewe ndio muke!!!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…