Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Ndoa kumbe zina mambo eeh?

kuanzia leo nikiona mtu na mke/mume wake wamenuniana

ni marufuku kuuliza sababu ya ugomvi,siulizi hata kwa bure

maana sababu zingine zinakufanya ujione ni under 18 kabisaaa.

sasa hii kesi ikinifikia hivi mimi naiamuaje eti? Tayari kuna mtu kaniambia

anataka nimshauri kitu this week sasa sijui ndio yatakua kama haya....
 
Nina uhakika nikitaka ndevu za bandia naweza kuzipata

nina hakika hata nywele za bandia wachina wamezijaza kibao madukani

ila kwa thread hii imebidi niwaze zaidi,Hamna mahali kuna duka la mavuzi bandia wakuu?
 
Kwanza kuwa msafi ni jambo zuri, ukizingatia dar es salaam joto na pia bashite aliwahi sisitiza usafi.

Kwa ufupi jamaa hana kosa katika kunyoa.
Kosa tu hajamdinya wakati mke akisema maneno mabaya yeye kaamua amtie makofi...
kuna maneno mengine yanauma hasa ukiwa hujafanya hicho kitu
 
Jamaa nae kudakwa kiboya..
hebu jiweke kwenye nafasi ya jamaa unahisi ungechomokaje kwenye huo mtego,? au ungesema huogi hiyo siku? vipi kama mnalalaga wote mkiwa watupu? mkuu hujawahi kukutana na situesheni za kujikuta upo mtu kati gia zote unaingiza zinatema,gari imenasia gia namba 1 yani.
 
Kwa sisi wachaga wenye nchi hii Mwanamke akisema tu rudi kwa huyo aliekunyoa tunarudi fasta. Kw wale wasukuma kama mleta mada ndio wanalizwa lizwa na wanawake.

Ili kuondokana na huu ujinga Sisi CCM asili tu nasema chagua Lissu ili tupate kuijenga CCM mpya.
ukirudi huko ulikonyolewa na upotelee huko huko usije ukarudi tena maana hamna neno utaongea litaeleweka
 
Kwa hiyo huyo mwanaume alikua kwako na wewe ndie ulimnyoa,

Jiandae na wewe kuchanwa chanwa viwembe vya uso.
 
Mimi nawaza tu pale kituoni wakati wanatoa maelezo alf kosa ni jamaa karudi nyumbani bila VUZI 😀 😀 😀
Kosa ni ugomvi, sababu iliyopelekea ugonji ni mapenzi
 
Back
Top Bottom