Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Alikosea sana huyo jamaa yako kutoka nyumbani na msitu wa virunga kisha unarudi pamefyekwa.
 
Huyo mwanamke atakua ni mpenzi wa kipindi cha wanawake live.
 
Kama walizoea kunyoleshana mpk mtu anaelewa kuwa style hii ya kunyoa si ya jamaa unafikiri nini hapo?? Jamaa ilitakiwa awe mpole tu waongee kiutaratibu wayamalize hayo mambo ya ndani hata wewe ikiwa mke anakuaga anaenda mahali then kesho anakuja kauparua lzm uhoji.. hivi kwanza ugenini mtu anakuwaje comfortable kufanya kitu Kama hicho..[emoji23]
Mgeni umekuja leo tu Tayari ushanyoa na uvuzi! Ila wanaume hichi kichwa Cha chini huwa kinatuponza sana jamaa lilisahau kabisa kuwa hunyolewa na nani..[emoji23]
Kichwa cha chini kikisimama, cha juu hukosa nguvu na maarifa..
 
Mimi nawaza tu pale kituoni wakati wanatoa maelezo alf kosa ni jamaa karudi nyumbani bila VUZI 😀 😀 😀
Hapo hakuna cha vuzi wala kipara, issue ni maelezo ya kipigo alichoshushiwa tu.
 
Nimelewa baada ya Kukosa WhatsApp. Siwezi kuchangia huu Uzi.
 
Umtoe wa nini??????

Acha ajifunze mwanamke hapigwi ngumi

Na akirudi arudi na vuz.i hilo

La sivyo arudishwe tena ndani
 
Ni makosa makubwa sana kumpiga mwanamke.
Mwanamke mpige kisaikolojia ila kamwe usijaribu kunyanyua mkono wako kumrushia kofi, ngumi ama chochote kwenye mwili wake maana kufanya hivo ni kujidhalilisha wewe mwanaume.
ona huyu, bure kabisa
 
Back
Top Bottom