Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Alikosea sana huyo jamaa yako kutoka nyumbani na msitu wa virunga kisha unarudi pamefyekwa.
 
Huyo mwanamke atakua ni mpenzi wa kipindi cha wanawake live.
 
Kichwa cha chini kikisimama, cha juu hukosa nguvu na maarifa..
 
Mimi nawaza tu pale kituoni wakati wanatoa maelezo alf kosa ni jamaa karudi nyumbani bila VUZI šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Hapo hakuna cha vuzi wala kipara, issue ni maelezo ya kipigo alichoshushiwa tu.
 
Hata mi sijubali uondoke urudi ndivyo dibyo[emoji16][emoji16]
 
Nimelewa baada ya Kukosa WhatsApp. Siwezi kuchangia huu Uzi.
 
Muache tuu umtoe baada ya uchaguzi.

Hawezi kurudi nyumbani bila mavuzi wakati aliondoka nayo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umtoe wa nini??????

Acha ajifunze mwanamke hapigwi ngumi

Na akirudi arudi na vuz.i hilo

La sivyo arudishwe tena ndani
 
Ni makosa makubwa sana kumpiga mwanamke.
Mwanamke mpige kisaikolojia ila kamwe usijaribu kunyanyua mkono wako kumrushia kofi, ngumi ama chochote kwenye mwili wake maana kufanya hivo ni kujidhalilisha wewe mwanaume.
ona huyu, bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…