Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

Mnaogaje pamoja? Huo ni uzembe mkubwa sana kafanya.
 
Nina uhakika nikitaka ndevu za bandia naweza kuzipata

nina hakika hata nywele za bandia wachina wamezijaza kibao madukani

ila kwa thread hii imebidi niwaze zaidi,Hamna mahali kuna duka la mavuzi bandia wakuu?
Fursa hiyo anzisha hiyo sehemu uwe unauza hayo mazaga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila lakini...huyo mshkaji wako alipata vipi wazo la kunyoa mavuzi ugenini? Tena ameenda kwa kazi ya masaa machache.
Inafikirisha...
 
Muache tuu umtoe baada ya uchaguzi.

Hawezi kurudi nyumbani bila mavuzi wakati aliondoka nayo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi unanichekesha sana, dah nyie watu
 
Huyu kajitakia bhana[emoji16][emoji16]

Kingsmann
 
Kuna mambo yanafurahisha sana... Jamaa itakua kanyolewa na hawara...

Ila mwanamke mwenye wivu ni mzuri sana...



Cc: mahondaw
 
Mgeni umekuja leo tu Tayari ushanyoa na uvuzi! Ila wanaume hichi kichwa Cha chini huwa kinatuponza sana jamaa lilisahau kabisa kuwa hunyolewa na nani..πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣
 
Mke ana haki kabisa, kwa nini Mme anyoe mavuzi? Kwanza kaenda sehemu sio yake alipata wapi huo mda wa kutafuta kinyoleo na kunyoa kipara! Halafu badala ya kutoa maelezo ya kuridhisha yeye anatembeza kichapo, sio haki kabisa!
 
Mke ana haki kabisa, kwa nini Mme anyoe mavuzi? Kwanza kaenda sehemu sio yake alipata wapi huo mda wa kutafuta kinyoleo na kunyoa kipara! Halafu badala ya kutoa maelezo ya kuridhisha yeye anatembeza kichapo, sio haki kabisa!
kwahiyo siku hizi mavuzi hayanyolewi nnje ya nyumba mkuu,ni lazima iwe nyumbani tena kwa ruhusa maalumu si ndio maana yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…