Hivi wanawake huwa mna kasoro gani hata mliokwenda shuleni

Watu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.

Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.

Kama unemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.

Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.

Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.

Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.

Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.

Kila mtu katika tukio hilo anaweza kutafsiri kulingana na akili yake.

Mimi nasema hapo Michelle hakuwa na nia ya kuonyesha wivu, kumbukeni kwamba hapo ilikuwa ni msibani na katika hali ya kawaida msibani n8 mahali pa maombolezo sio mahali pa kuongea politics na vicheko na tabasamu nk, cha muhimu zaidi ukizingatia ni mtu gani aliyefariki, Michelle ni mwanamke anayejitambua na muelewa, anamuelewa vyema Obama, kuingia katikati yao Michelle alitaka kuwakumbusha kwamba wapo msibani and there is no room for gossips.

Michelle aliingia hapo kati kuwakumbusha Obama na huyo Madam (kiongozi) kwamba wapo msibani, hapo hakuna cha wivu, kwani kama huyo madam angekuwa na "nia yake" kwa obama kamwe asingetumia njia hiyo ya hadharani kiasi hicho bali angaweza kubuni ziara ya kiserikali na angemfuata Obama hukohuko states.
 
Ukilinganisha na Mzee Baba anavyomzodoa Mama Jesca hadharani hapo vipi?

Hivi ile ndiyo style yetu ishakubalika ama vipi?

Baba lazima awe anamzodoa sana Mama hivi kujimwambafy, asipomzodoa anaonekana kalishwa limbwata?

Au vipi?
Utasikia!!
Halafu we Mama Na ulivo Mweupe h!!!!!!!!!!!!!!!!!![emoji23]
 
Sindo vizuri ama. Kupendwa raha ati. Angekua hakuinelei wivu je[emoji23][emoji23]

Huwa mnaanzaga hivyo2 mwisho wa siku balaa laja. Utasikia kuna project anataka nikamsaidie ndo kimoja. Hata mm nna wivu na mali zangu weweee
Sasa pendomamtefu tumelala wote kuna ulazima wowote ule ukumbatize ub.oo usiku kucha utafikiri unapotea!

Hahahaaaaaa
 
Kila mtu katika tukio hilo anaweza kutafsiri kulingana na akili yake.

Mimi nasema hapo Michelle hakuwa na nia ya kuonyesha wivu, kumbukeni kwamba hapo ilikuwa ni msibani na katika hali ya kawaida msibani n8 mahali pa maombolezo sio mahali pa kuongea politics na vicheko na tabasamu nk, cha muhimu zaidi ukizingatia ni mtu gani aliyefariki, Michelle ni mwanamke anayejitambua na muelewa, anamuelewa vyema Obama, kuingia katikati yao Michelle alitaka kuwakumbusha kwamba wapo msibani and there is no room for gossips.

Michelle aliingia hapo kati kuwakumbusha Obama na huyo Madam (kiongozi) kwamba wapo msibani, hapo hakuna cha wivu, kwani kama huyo madam angekuwa na "nia yake" kwa obama kamwe asingetumia njia hiyo ya hadharani kiasi hicho bali angaweza kubuni ziara ya kiserikali na angemfuata Obama hukohuko states.

Wewe ndiye umepatia....kwa maoni yangu.
 
Nimependa zaidi hiyo ya kuibusu inaleta msisimko wa aina yake
 
Watu wanapenda kusoma wanachotaka kusoma.

Inawezekana kabisa Mrs. Obama alikuwa na stories fulani na yeye anataka kuongea na huyo mwanamke, akaona itakuwa vizuri akijisogeza waongee kwa karibu zaidi.

Kama unemsoma na kumfuatilia vizuri huyu Michelle, ana nyodo fulani za kisaikolojia kuhusu Barack Obama, kwa sababu Michelle ndiye alikuwa kama bosi wake Barack alivyoanza kazi law firm Chicago, na anamjua Barack tangu Barack anaendesha gari lililotoboka floor.

Mimi naona kama angemind angemchunia tu, halafu Barack Obama angeenda kukisikilizia "kipigo cha mbwa koko" nyumbani.

Huo uso wa mbuzi pengine ni kipaji cha kuzaliwa tu.

Mimi nina admire sana nidhamu ya Barack Obama kwenye mambo ya wanawake.

Sijawahi kusikia scandal ya wanawake hata moja miaka yake yote ya ndoa.
Ahahahhhahahah Miaka yote ya ndoa?

Wabongo bhana
 
Kila mtu katika tukio hilo anaweza kutafsiri kulingana na akili yake.

Mimi nasema hapo Michelle hakuwa na nia ya kuonyesha wivu, kumbukeni kwamba hapo ilikuwa ni msibani na katika hali ya kawaida msibani n8 mahali pa maombolezo sio mahali pa kuongea politics na vicheko na tabasamu nk, cha muhimu zaidi ukizingatia ni mtu gani aliyefariki, Michelle ni mwanamke anayejitambua na muelewa, anamuelewa vyema Obama, kuingia katikati yao Michelle alitaka kuwakumbusha kwamba wapo msibani and there is no room for gossips.

Michelle aliingia hapo kati kuwakumbusha Obama na huyo Madam (kiongozi) kwamba wapo msibani, hapo hakuna cha wivu, kwani kama huyo madam angekuwa na "nia yake" kwa obama kamwe asingetumia njia hiyo ya hadharani kiasi hicho bali angaweza kubuni ziara ya kiserikali na angemfuata Obama hukohuko states.
Ukiangalia hizo picha,kuna moja ambayo Obama hayupo kwenye Siti aliyokuwa amekaa na iko wazi huku Michelle akiongea na huyo Mama!Nadhani hapo Obama alikuwa katoka kidogo,sasa ili kufanya mazungumzo kuwa rahisi ndio Michelle akasogea karibu ili aongee na huyo mama bila kuinama!Na Obama aliporejea akaona akae kwenye siti iliyokuwa wazi ambayo ilikuwa imeachwa na Michelle!
 
Tunafanana. Yaan narelax vibaya mno single. Nikiwa nadate nakua double shift[emoji23][emoji23]
Mapenz yanauma jaman asikuambie mtu. Nna wivuuu. Kuna muda nitajifanya msela ila vikinipanda utanielezea usela manake ni nn.
Nadhan teenage age inachangia nyie kuwa hivyo.Mkikua....au mkishatendwa kama mara tatu nne hvi mtaacha wenyewe.Akil zitarud mahala pake
 
Ndo dharau za jf. Tukiwaambiaga ukweli mnaanza kukimbilia kashfa na kutugroup. Teenager range yake si unaijua? Wivu unagusiana nini na umri? Usitusikitishe mkuu. Siku njema.
 
Heb twende taratibu mkuu usi panic kwa vitu vidogo ambavyo sometimes hutakiw hata kuwa seriouw navyo 😂
 
Heb twende taratibu mkuu usi panic kwa vitu vidogo ambavyo sometimes hutakiw hata kuwa seriouw navyo [emoji23]
Nakasirika maana unaniuta tineja mkuu kweli?[emoji24][emoji24][emoji24] mimi tineja? Na uzee huu? Hivi unayajua matukio yetu ya utineja kweli? Usirudie tena utapoteza maisha[emoji23][emoji23]
 
Sirudii tena tineja mstaafu 😁
 
Back
Top Bottom