Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ngumbaru kiherehere unajua kusoma kwa ufahamu?We ndio guluguja
Miaka yao ya ndoa unaijua ww?
Bas wewe ni wifi yake Michelle
Wewe ngumbaru kiherehere unajua kusoma kwa ufahamu?
hahahhaha...mimi akiushika lazima shoo aipate..Hawa viumbe wana maajabu sana, unaweza kuwa umelala naye kitandani hana nyegge za kutiwa lakini atahakikisha kaukumbatia ub.oo hadi usingizini utafikiri asipoukamatia unahama au unang'oka na kupotea kwenda kwa mwingine
Una kigugumizi cha macho.Nimesoma kwa kutumia mofimu. Sema kingine
Utakuwa mwamke mwembamba usie na mwili. Nimeotea tu!Ninao wivu kama wa huyo mama
Unanitesa kabisa
Nkiwa single hivi narelax
Heheheh kumbe eeh,Tunafanana. Yaan narelax vibaya mno single. Nikiwa nadate nakua double shift[emoji23][emoji23]
Mapenz yanauma jaman asikuambie mtu. Nna wivuuu. Kuna muda nitajifanya msela ila vikinipanda utanielezea usela manake ni nn.
uchizi kabisa.😍Ndio. Sindo kiunganishi chetu. We vipii. Nakibusu kabisa nikishtuka usingizini. Hv nyie mnajua kupenda kweli? Tuzoweeni tu
[emoji23][emoji23][emoji23] that feeling is the best aisee. Nakuaga na heka hekaaaa. Nikikumbuka nampenda fulan nampigia hapo hapo. Kwanza dk chache unakua unahema kwanza huingei usikilizie mapigo ya pumzi zake kwanza[emoji23]Unaonesha ukipenda unapataga
uchizi kabisa.[emoji7]
Extro... mapenzi matamu asikuambie mtu mukiwa poa. Ni matamu balaaa.... na wivu kuwepo hailwepeki. Me nikatae kote niwe na wewe tu halaf nione mtu anakuja kuja wakati me nakua nakuweka navyotaka uwe? Maana beibe lazima anunuliwe perfumes nzuri, nguo za kazini, casual etc. Kwangu ni mtu wa thaman sana. Yaan mpenzi wangu ni 1st born wangu. Mapenz ypte atapataaaa.... hivi kwann nisipate wivu. Halaf nikute unamuangalia kwa kumtamani[emoji23][emoji23] naenda kukaa katikati kama michelle.Heheheh kumbe eeh,
Navuta picha halisi ya namna ulivyo mtundu na mtamu kunako sita kwa sita kwa komenti yako hii. Nakubembeleza hadi unalowana kabla hata hatujagusana aseee wanawake wa hivi mnanoga hatari[emoji23][emoji23][emoji23] that feeling is the best aisee. Nakuaga na heka hekaaaa. Nikikumbuka nampenda fulan nampigia hapo hapo. Kwanza dk chache unakua unahema kwanza huingei usikilizie mapigo ya pumzi zake kwanza[emoji23]
Halaf unaanza kuwaza kesho sijui nimpelekee zawadi gani jamani. Nawashangaaga sana wengine wanaotupondaga kuwapelekea wapenz wetu zawadi eti tunahonga wanaume. Mapenz matamu nyie. Wivu ndo rahaa ili ubembelezweee jamani. Kuna tuugomvi tudogo tu ili umsikie babby akisema nisamehe mamaa jaman haitatokea tena.
Nna wivuuuuuuuuuuuuu..
Ila sasa hivi nimerelax sana hizi hekaheka achaga kbs[emoji91][emoji91][emoji91]
Marvelous!!Extro... mapenzi matamu asikuambie mtu mukiwa poa. Ni matamu balaaa.... na wivu kuwepo hailwepeki. Me nikatae kote niwe na wewe tu halaf nione mtu anakuja kuja wakati me nakua nakuweka navyotaka uwe? Maana beibe lazima anunuliwe perfumes nzuri, nguo za kazini, casual etc. Kwangu ni mtu wa thaman sana. Yaan mpenzi wangu ni 1st born wangu. Mapenz ypte atapataaaa.... hivi kwann nisipate wivu. Halaf nikute unamuangalia kwa kumtamani[emoji23][emoji23] naenda kukaa katikati kama michelle.
siti ya mbele 2021Acha tuone 2021
Ha ha ha ha..Navuta picha halisi ya namna ulivyo mtundu na mtamu kunako sita kwa sita kwa komenti yako hii. Nakubembeleza hadi unalowana kabla hata hatujagusana aseee wanawake wa hivi mnanoga hatari
Love is bae. Basi tuu sisi wanadamu ndo huharibuMarvelous!!
Nkiwa single hivi narelax