Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri walivyokubaliana , sijui mwamba alitumia mbinu gani kumrubuni ghafla dada yangu akabadirika 😂
Tulipojaribu kumshauri ndo akatuona sisi ndugu zake kama hatumtakii mema
Lijamaa likamuotea likamshawishi akachukua mkopo benki Mil 15 akauza viwanja vyake navyo akapata kama Mil 10 likampa na mimba😂 likawa linamdanganya kuwa linaweza kumfanyia uhamisho wahamie Dodoma
Sister kavimba kichwa kumbe jamaa linamendea kadi ya benki lilipoipata tu likaingia mitini na hela yote
Sasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua
Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,
Andiko hili sio kwa lengo la kumdhalilisha dada yangu bali nawakumbusha wanawake wengine kuwa sasa hivi ata wanaume tumebadilika hivyo dada utakapompata mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano jitahidi akili zako zisihame.