Hivi Wanawake Mkizama Penzini Akili Huwa Mnaziweka Wapi?

Saa ingine sio kalogwa ni mapenzi, ni kama sisi tunavowasomesha chuo, kuwanunulia magari, nyumba n.k mnakua mmetuloga?

Unakuta mdada kapata mwanaume ambae ni type yake kabisa, ataacha kutoa hela..shida wadada wengi wanatongozwa na wanaume wenye muonekano mbovu/sio type zao ndo maana wanaonekana kua hawatoi hela Hannah ephen_
Kakojoe ulale, kesho shule.!
 
Mwanaume kumhudumia mwanamke hiyo ni asili. Kinyume chake ni kurogwa.
 
Wanawake wengi wakikung'utwa vzr kwa speed of robot akili zao zinahamia miguuni huku juu kinabaki kichwa halisi ambacho ni kichwa cha mkung,'utaji 😂😂
 
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X

Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk

Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri walivyokubaliana , sijui mwamba alitumia mbinu gani kumrubuni ghafla dada yangu akabadirika 😂

Tulipojaribu kumshauri ndo akatuona sisi ndugu zake kama hatumtakii mema

Lijamaa likamuotea likamshawishi akachukua mkopo benki Mil 15 akauza viwanja vyake navyo akapata kama Mil 10 likampa na mimba😂 likawa linamdanganya kuwa linaweza kumfanyia uhamisho wahamie Dodoma

Sister kavimba kichwa kumbe jamaa linamendea kadi ya benki lilipoipata tu likaingia mitini na hela yote

Sasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua

Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,

Andiko hili sio kwa lengo la kumdhalilisha dada yangu bali nawakumbusha wanawake wengine kuwa sasa hivi ata wanaume tumebadilika hivyo dada utakapompata mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano jitahidi akili zako zisihame.
Mkuu usimlaumu sana sister yako ,hao jamaa huwa wanatumia madawa ya waganga(wanaroga) na pia wanapaka mikocongo/puturu/mundende na kujifanya Sharukani full romantic ,na kama sister wako hajawahi kukutana na mtu wa aina hiyo lazima apagawe.
 
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X

Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk

Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri walivyokubaliana , sijui mwamba alitumia mbinu gani kumrubuni ghafla dada yangu akabadirika 😂

Tulipojaribu kumshauri ndo akatuona sisi ndugu zake kama hatumtakii mema

Lijamaa likamuotea likamshawishi akachukua mkopo benki Mil 15 akauza viwanja vyake navyo akapata kama Mil 10 likampa na mimba😂 likawa linamdanganya kuwa linaweza kumfanyia uhamisho wahamie Dodoma

Sister kavimba kichwa kumbe jamaa linamendea kadi ya benki lilipoipata tu likaingia mitini na hela yote

Sasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua

Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,

Andiko hili sio kwa lengo la kumdhalilisha dada yangu bali nawakumbusha wanawake wengine kuwa sasa hivi ata wanaume tumebadilika hivyo dada utakapompata mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano jitahidi akili zako zisihame.

Tukiwaambia ukifumani mke muache huwa muelewe mwanamke alishalala na mwanaume huko nje akili huwa Hana tena
 
Akili zinaenda uchini
 
Back
Top Bottom