antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Daah,Cha mlevi huliwa na mgema. 😊
Kuna sista angu, alimnunulia gari jamaa, akampa mtaji, akamjengea mama yake jamaa huko bushi, akaachiwa manyoya. Hanaga hamu.
Itakuwa mwamba alipaka vumbi la Kongo akamfikisha kule kusikojulikana