Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Umesahau kusema, Na pia limemfanya kuwa single mother.Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri walivyokubaliana , sijui mwamba alitumia mbinu gani kumrubuni ghafla dada yangu akabadirika 😂
Tulipojaribu kumshauri ndo akatuona sisi ndugu zake kama hatumtakii mema
Lijamaa likamuotea likamshawishi akachukua mkopo benki Mil 15 akauza viwanja vyake navyo akapata kama Mil 10 likampa na mimba😂 likawa linamdanganya kuwa linaweza kumfanyia uhamisho wahamie Dodoma
Sister kavimba kichwa kumbe jamaa linamendea kadi ya benki lilipoipata tu likaingia mitini na hela yote
Sasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua
Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,
Andiko hili sio kwa lengo la kumdhalilisha dada yangu bali nawakumbusha wanawake wengine kuwa sasa hivi ata wanaume tumebadilika hivyo dada utakapompata mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano jitahidi akili zako zisihame.
Sio dada yako tu Mkuu. Hili kwa sasa ni janga linalowakuta Wanawake wengi ambao wapo desperate na Ndoa. Akili zao huwa zinaendeshwa na hisia za kimahaba hivyo kutokufikiri sawasawa. Na kwa sababu hii wengi wanatapeliwa mpaka makanisaniDada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri walivyokubaliana , sijui mwamba alitumia mbinu gani kumrubuni ghafla dada yangu akabadirika 😂
Tulipojaribu kumshauri ndo akatuona sisi ndugu zake kama hatumtakii mema
Lijamaa likamuotea likamshawishi akachukua mkopo benki Mil 15 akauza viwanja vyake navyo akapata kama Mil 10 likampa na mimba😂 likawa linamdanganya kuwa linaweza kumfanyia uhamisho wahamie Dodoma
Sister kavimba kichwa kumbe jamaa linamendea kadi ya benki lilipoipata tu likaingia mitini na hela yote
Sasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua
Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,
Andiko hili sio kwa lengo la kumdhalilisha dada yangu bali nawakumbusha wanawake wengine kuwa sasa hivi ata wanaume tumebadilika hivyo dada utakapompata mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano jitahidi akili zako zisihame.
Tumefikia huko au alipagawa na cassava rootWanaume siku hizi wanaroga balaa. Dada yako alirogwa na huyo “mkora”.
Dah hatari sana na wale matapeli wa injili nao wanapita kwenye uchochoro huuSio dada yako tu Mkuu. Hili kwa sasa ni janga linalowakuta Wanawake wengi ambao wapo desperate na Ndoa. Akili zao huwa zinaendeshwa na hisia za kimahaba hivyo kutokufikiri sawasawa. Na kwa sababu hii wengi wanatepeliwa mpaka makanisani
Nielekeze huo uchawi na me kuna mtu nikamshughulikieWanaume siku hizi wanaroga balaa. Dada yako alirogwa na huyo “mkora”.
Mkinasa penzini Madishi elekezeeni Mjini.Ila desperation ni mbaya .
Wanaume muache uchawi.....
Tena wanazidi kuongezeka kadiri wanavyoona watu wanavurugwa na pilikapilika za maisha.Dah hatari sana na wale matapeli wa injili nao wanapita kwenye uchochoro huu
Saa ingine sio kalogwa ni mapenzi, ni kama sisi tunavowasomesha chuo, kuwanunulia magari, nyumba n.k mnakua mmetuloga?Wanaume siku hizi wanaroga balaa. Dada yako alirogwa na huyo “mkora”.
Tulishakubaliana Imani za kishirikina hatutakiWanaume siku hizi wanaroga balaa. Dada yako alirogwa na huyo “mkora”.
Ila wanawake tunatumia emotions kufikiria kuliko akiliMkinasa penzini Madishi elekezeeni Mjini.
Signal Quality 72+
Signal Strength 76+