antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Daah,Cha mlevi huliwa na mgema. π
Kuna sista angu, alimnunulia gari jamaa, akampa mtaji, akamjengea mama yake jamaa huko bushi, akaachiwa manyoya. Hanaga hamu.
ndy mkuu wapo weng san maana mwanamke ni mrahisi kumjua udhaifu wake mm kuna bidada alitaka kuchora tatoo kwenye paja nikamkataza, ashawah kutuma hela nying nikaziludisha saiv tumeachana nawaza kama nigevikubali igekuwejePia kuna wanaume matapeli ,hutumia udhaifu WA mwanamke kumtapeli
Aisee hii ngoma ya depression ni hatari sana isikukumbe ndugu yangu tena msaidie huyo dada yako asije kujidhuruSasa , dada presha imepanda ,sonona juu plus hekaheka za mtoto mchanga make Tyr amejifungua
Sasa hivi ata raha ya kwenda kazini hana dada yangu amekuwa wa kujifungia ndani na kulia ,
hii ipo sana wahuni wanawinda watumishi wa umma na aswa vijijini uko tamisenga kuna uhaba wa wanaume walimu,manesi nk wanangukia sana watu wadeal na wanawachukuliA MIKOPO ya kufungulia biashara uku wao wakiteseka makato,kuna mtendaji wa kata nishashudia ana mshahara wa basic salary 700k ila kila mwezi anapokea 300k kisa mkopoTumefikia huko au alipagawa na cassava root
Tuwaonee hurumahii ipo sana wahuni wanawinda watumishi wa umma na aswa vijijini uko tamisenga kuna uhaba wa wanaume walimu,manesi nk wanangukia sana watu wadeal na wanawachukuliA MIKOPO ya kufungulia biashara uku wao wakiteseka makato,kuna mtendaji wa kata nishashudia ana mshahara wa basic salary 700k ila kila mwezi anapokea 300k kisa mkopo