Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaa mama weeeeeeeeee !makeup on fleek!
Hahahaha haturembi ukawaKaribu ukawa
Kabisa ,aachane na ma ccmHahahaha haturembi ukawa
Umegonga mpk mshipa wa tackle yaani sijui tukoje tena una mtoko ndo kabisaaaMie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!