Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
Im glad it worth the wait!
Unauliza makofi polisi....
Aisee....inabidi niende kozi ya uvumilivu...Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!
Hahahahaha lol! Kama kujiremba kote halafu anakuja hivi nasepa zangu wala hatanisikia tena. Weye Numbisa ni kiboko.
Wewee polisi ya wapi hio?
Bora ajirembe hivyo kuliko awahi kuja mwende ATM akung'ang'anie hivi
View attachment 660091
aiseee hatari
Kwa hilo paja wacha aning'ang'anie tuBora ajirembe hivyo kuliko awahi kuja mwende ATM akung'ang'anie hivi
View attachment 660091
aiseee hatari
Huyu wa hivi naye sina muda naye. Mambo ya kunipenda kwa penzi la pesa huwa siyafagilii hata chembe. Nikigundua ni wa hivyo nakula kona ya nguvu.
Kwa hilo paja wacha aning'ang'anie tu
Hahahaha mujini pesa bana,kupendwa baadae