Hivi Wanawake Mna Nini?!

Hivi Wanawake Mna Nini?!

pesa yangu alafu anichomeshe maindi...kwani papuchi anayo yeye peke yake?...kwanza siku hizi mwanamke hatakiwi kuringa wat she is offering inapatikana nirahisi. ondoka zako atakutafuta
una akili kama zangu mkuu... najitowaga ufahamu nafanya maamuzi magumu tu niumize kichwa kwani anayagold
 
Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
Mwisho mzuka utakata buree,kweli huyo Shubamitiiii!!!!!
 
Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
Hahahahahaha umechomeshwa mahindi
 
Mi huwa nazunguka tu ndani hata sijui natafuta nini,,ila kama kwa ishu muhimu nakuwa fasta
 
una akili kama zangu mkuu... najitowaga ufahamu nafanya maamuzi magumu tu niumize kichwa kwani anayagold
alafu wanapimaga...ukisepa kweli harudii tena....hii dunia ya wanaume bwana mwanamke asikupeleke puta papuchi zimejaa kibao cha msingi ndalama tuu
 
I can imagine. Niliwahi kumwacha mtu kwa ajili ya kuchelewa kufika, alilalamika utadhani kosa ni la kwangu. Ila akirudia tena nitajua kuwa huo ni ulemavu wake. Maana hakuamini
 
Even me nilishaachana ma mtu kwasababu hizo nimekaa namsubiria lisaa lizima nikaona huu ni ujinga,unajua mwanzoni mwa mahusiano mwanamke huwa kuna vitu anavifanya makusudi so hapo usipokuwa na msimamo mkiingia kwenye ndoa imekula kwako
 
Kweli kabisa kaka. Sometimes wanafanya makusudi ili tu kukupima misimamo yako kama ni dhabiti au magumashi. Na ukiyumba tu jua ndio umekwisha. So ni bora kusimamia misimamo yako ili ajue hutanii. Bora uonekane mkaksi lakini sio kuyumbishwa.
 
Yap mwanzoni ndio huwa wanapima misimamo yako ikoje mzee
 
We mpaka leo unamsubiri mwanamke aje mda unaotaka wewe?
Siku nyingine fanya hivi, kama una ahadi nae saa 9 mwambie mkutane saa 7 utagonga buru.
 
Back
Top Bottom