una akili kama zangu mkuu... najitowaga ufahamu nafanya maamuzi magumu tu niumize kichwa kwani anayagoldpesa yangu alafu anichomeshe maindi...kwani papuchi anayo yeye peke yake?...kwanza siku hizi mwanamke hatakiwi kuringa wat she is offering inapatikana nirahisi. ondoka zako atakutafuta
Hio inabidi uwazoee wengine wanakuwa hawana uhakika wa kutolewa hadi wakuone umefikaNiko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
Mwisho mzuka utakata buree,kweli huyo Shubamitiiii!!!!!Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
Hahahahahaha umechomeshwa mahindiNiko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
alafu wanapimaga...ukisepa kweli harudii tena....hii dunia ya wanaume bwana mwanamke asikupeleke puta papuchi zimejaa kibao cha msingi ndalama tuuuna akili kama zangu mkuu... najitowaga ufahamu nafanya maamuzi magumu tu niumize kichwa kwani anayagold
Mwambie unatangulia. Atakukuta. MPE nauli ya tax.Hapo ndo kwanza anachemsha maji ya kuoga
Hahahaaa. Huu ndio mparo sasa. [emoji12]
Wewe MsAlafu tukitoka wala hakuna jipya.
Even me nilishaachana ma mtu kwasababu hizo nimekaa namsubiria lisaa lizima nikaona huu ni ujinga,unajua mwanzoni mwa mahusiano mwanamke huwa kuna vitu anavifanya makusudi so hapo usipokuwa na msimamo mkiingia kwenye ndoa imekula kwakoI can imagine. Niliwahi kumwacha mtu kwa ajili ya kuchelewa kufika, alilalamika utadhani kosa ni la kwangu. Ila akirudia tena nitajua kuwa huo ni ulemavu wake. Maana hakuamini
Nambie?Wewe Ms
Kweli kabisa kaka. Sometimes wanafanya makusudi ili tu kukupima misimamo yako kama ni dhabiti au magumashi. Na ukiyumba tu jua ndio umekwisha. So ni bora kusimamia misimamo yako ili ajue hutanii. Bora uonekane mkaksi lakini sio kuyumbishwa.Even me nilishaachana ma mtu kwasababu hizo nimekaa namsubiria lisaa lizima nikaona huu ni ujinga,unajua mwanzoni mwa mahusiano mwanamke huwa kuna vitu anavifanya makusudi so hapo usipokuwa na msimamo mkiingia kwenye ndoa imekula kwako
Yap mwanzoni ndio huwa wanapima misimamo yako ikoje mzeeKweli kabisa kaka. Sometimes wanafanya makusudi ili tu kukupima misimamo yako kama ni dhabiti au magumashi. Na ukiyumba tu jua ndio umekwisha. So ni bora kusimamia misimamo yako ili ajue hutanii. Bora uonekane mkaksi lakini sio kuyumbishwa.
kapeaceTuombeeni tu
Anakusoma atiKile kibao cha stop sign ulicho post kipo upside down mpaka sasa hakijarekebishwa...
Wanawake ni wakuwavumilia kwa mengi...
Cc: mahondaw