Hivi Wanawake Mna Nini?!

Baada ya nusu saa unasepa bila kuaga siku nzima atatia adabu ya kuheshimu muda wako.
Mkuu nimewaacha sana baada ya kunigandisha, hawakomi! Leo nimekuwa mpole
 
Reactions: BAK
pesa yangu alafu anichomeshe maindi...kwani papuchi anayo yeye peke yake?...kwanza siku hizi mwanamke hatakiwi kuringa wat she is offering inapatikana nirahisi. ondoka zako atakutafuta
Duh we acha tu...
 
Aisee....inabidi niende kozi ya uvumilivu...
 
Hahahaha mujini pesa bana,kupendwa baadae
Huyu wa hivi naye sina muda naye. Mambo ya kunipenda kwa penzi la pesa huwa siyafagilii hata chembe. Nikigundua ni wa hivyo nakula kona ya nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…