princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Huo muda tunaoamka Mungu ndo anajuaMbona hamchelewi kazini?
Naitafakari kwenye tafakuri ya mtima wangu hyo worth waiting!!Napita tuu neiba.Mhhhh!!
Haha,Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!
Haya; asante kwa darasa!Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!
Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!
una akili kama zangu mkuu... najitowaga ufahamu nafanya maamuzi magumu tu niumize kichwa kwani anayagold
Nilikua mwanachama mwenzenu kipindi icho... Ni usoro huo... Vijana wanoteswa na madem sana ni chini ya m25pesa yangu alafu anichomeshe maindi...kwani papuchi anayo yeye peke yake?...kwanza siku hizi mwanamke hatakiwi kuringa wat she is offering inapatikana nirahisi. ondoka zako atakutafuta
Hapa ndipo mnapotukesea, baada ya kujua mnapendwa.Tuna matatizo sana
tuvumilieni , hasa tukijua mna interest nasisi weeeeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
Kwani kama ni mafuta huwa mnapaka utumbo mwembamba na figo?Mie nasemaga jaman wanaum mkae mjue tu saikolojia zetu !nadhan hii hawez kubadilika kiviile !ipo hvyo jaman ! mie huwa nipo radhi uondke km ndo una haraka sana ! siye wanawake tunaweza kuvaa hata chupi mara 3!unavaa hii unatoa!unaona km haijakukaavyema ,au unahis imekubana sana haijabeba tackle fresh !kwenye bra sasa napo tabu tupu ! utataka bra inayokushika fresh na huku kila siku unavaa bra!yaan kwenye hereni sasa mie hapo navaliaga tu kwenye gar! unavaa heren unahis hazijapendezea kwenye nguo yako!
vurugu tupuu ! unafika kwenye gari umesahau saa yako na huku una simu utashuka ukimbie ufate saa yako !yaan MTUELEWE TU ! sijui why mnanuga namna hyo !
mie nikiwa na mtok iwe harus au sendoff najua nitaenda na hubBy naanza kujiandaa saa 7 mchana had ifike saa 1 nipo tayar !wenzetu hata mafuta hampaki lakini mnataka kufanana na sie!
MSHINDWE!
mm sijawahigi kuchelewaHapa ndipo mnapotukesea, baada ya kujua mnapendwa.
Kama bado nakufukuzia nitavumilia, japo moyo unakuwa unauma mno.
Ila tukishawezeshana tu, kuna vitu vita ku-influence kuwahi au kuchelewa siku nyingine.
Ukichelewa, nitakueleza mara ya 1,
Ukirudia tena 2 na 3. Basi nitajua ni tabia yako.
Hapo nitajua la kufanya.
Kwani kama ni mafuta huwa mnapaka utumbo mwembamba na figo?
Halafu tabia ya kuvaa high hills halafu ukifika harusini unaanza kunituma nikakuletee flat shoes kwenye gari muache...
Au unabeba kapochi then ukifika harusini unakazi ya kuzurura tu...mara mziki, mara salam mara kutunza mara .... Unaniambia nishikie hii, kwanini usiache nyumbani kama sio sehemu ya vazi lako? Unanibebesha mimi nilikutuma?
Hah....nimekumbuka mbali, haya huwa yapo kichwani tu, ila kuyasema hayasemwi.
Sijawahi kuzoea na sijui kama nitazoea.Aisee pole sana, utazoea tu, jaribu kuwa na Ipad yenye bundle utazame hata filamu wakati unasubiri, huwezi elewa wala kuirekebisha hiyo...Na sasa ukibahatika kupata watoto wa kike 2 au 3 halafu wawe teenagers ndio maumivu zaidi...
Ila kwa mama itapunguwa kidogo, siku ameingia ndani na kashusha mashine...Maana atakuwa anajiamini kidogo..