Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja

Ghafla message inaingia naomba uniagaiwe pesa ya Kama 50k matumizi hakusema nikamwambia jamani hata salamu tujuliane hali kwanza "aah sorry ' vip anajibebisha nikamwambia yote kuhusu simu 'ndo maana meseji WhatsApp hujibu" nikamwambia ndio akasema "sawa"

Balaa anasema sasa pesa utanitumia saa ngapi au niifuate ***** zake kwa kweli hata pole
 
Wengi wanaoa wanawake waliowaokota okota tu sehemu na kuishi nao au kuwa nao miaka mingi halafu ndio wanakuja eti kufunga ndoa kuridhisha watu

Hapo unakuta mmezoeana ila hata wazazi wenu hawajuani au hata wewe huwajui
Mpambane na Hali zenu maana mwana kulitafuta
Nashangaa mtu anaanzisha uzi kabisa eti msioe kwa ujinga kama huu ni dhahiri hamtaoa kama mnafanya kuokotana
 
Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja

Ghafla message inaingia naomba uniagaiwe pesa ya Kama 50k matumizi hakusema nikamwambia jamani hata salamu tujuliane hali kwanza "aah sorry ' vip anajibebisha nikamwambia yote kuhusu simu 'ndo maana meseji WhatsApp hujibu" nikamwambia ndio akasema "sawa"

Balaa anasema sasa pesa utanitumia saa ngapi au niifuate ***** zake kwa kweli hata pole

Simu kali S9 + [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama umeoa mwanamke mwenye kazi ili akusaidie majukumu basi imekula kwako mwanamke ameumbwa kupokea tu sio kutoa ndo maana ukitaka vita ya Ukraine na Russia mkopeshe mwanamke halafu umdai uone atakavyokupiga chenga ya mwili ndo wanawake walivyo.
 
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.

Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?

Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Wanawake sie ni wabinafsi sana... Kupata mwanamke mwenye utu na utulivu ni Kazi sana
 
Laiti kama tungelijua neno la Mungu. The word says katika Mith 14:1 "Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake...." Nadhani kama watu tungewekeza kwenye kulijua neno lililo msingi wa familia this shit isingetokea. Tukiadvice tunaonekana walokole sana lakini ndo mbomoko wa familia huanzia hapa.

My take..if the family wants success as an entity tusimtaje Mungu mdomoni au kwenye kutype tu..embu tumtafute kweli maadam anapatikana, neno linasema Kwa maana wale waliitao jina la Bwana ndio watakaookoka. Kama ni mwanaume utapata mke bora (sio mkamilifu) lakini bora wa kiwango cha Standard Gauge....lakini if you as a man hutaki kusuccumb to your master akupe mke bora wa maisha yako..unatumia vigezo unavyovijua wewe fine if you get lucky haya..ila if you are not..haloooo ndo malalamiko hapa..hayataisha

#nimaonitu#
 
Back
Top Bottom