Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Sasa hii inahusiana nini na nilichoandika mimi?
Wakti ujao kwanini usisome kwa kutulia ukajibu hasa kile kimeandikwa?
Wewe hujui ulichokiandika ndio sembuse mimi?

Umeingiza uislamu unasema hivi na mimi nimekupa elimu uislamu unasema hivi pia na siyo one side of coin.

Kwanza usinipotezee muda wangu feminist, mnacomment vitu bila kushirikisha ubongo.
 
Kwanini usichukue dakika moja tu kurejea mtoa mada kasema nini? Kisha tazama nimejibu nini?

Halafu angalia ulichojibu wewe kabla hujaanza label watu. Hivi kusoma kidogo kuna shida gani, yaani vijisentensi kidogo kuvisoma na kuvielewa tu.
 
Kwa ufupi nilitegemea wanawake wasomi waifanye jamii kuwa bora zaidi, kwa kujiongeza zaidi katika familia since wanatambua 50/50.
Ila imekuwa majanga zaidi, kiasi hata wanaume tumeanza kuogopa kudate au kuoa wanawake wasomi.
Maana tulichotegemea hakipo kabisa.

Yaani bora uoe mwanamke mwenye elimu ya kawaida sanaaa, Angalau unaweza savaivu kiasi kwa muda.
 
Nyie si huwa mnajifanya kina tupatupa kwa kuwapa hela michepuko kama hamna akili nzuri?!

Mnamaliza rasilimali za familia kwenda kuibiwa nje lakini Kwa mke halali mnalalamika ?!

Tena nasema waendelee kuwashikilia hapohapo [emoji108]

Na hapo ndipo vichwa vya wanaume huharibika because of too much demand toka ndani kwa mke na nje kwa michepuko.

Hapo ndipo mvurugiko wa akili huanza kutokea na Mwanaume kuonekana kuchooka na kuanza kuota mvi za kabla ya umri!
Huko nje akagawe eti kuhonga kwa mke eti alete mshahara wake hapa, ha ha ha hivi inawezekana kweli?
 
Huyo mwanamke ana lake jambo familia mnajenga wote ila vizuri pia maana mwanaume akishakuwa na hela loose anaanza kutafuta masuria left,right and center
 
Huyo mwanamke ana lake jambo familia mnajenga wote ila vizuri pia maana mwanaume akishakuwa na hela loose anaanza kutafuta masuria left,right and center
Sio kweli
 
Wanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu.

Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia.

Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa zao wanazihifadhi wakati za mwanaume zinatumika kwenye familia.
Thibitisha kuwa wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume kwa sababu pesa zao wanazihifadhi huku za mwanaume zikitumika!
 
Back
Top Bottom