sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Duuu wewe mzigua kama ilivyo ID yako hao watu achana nao kabisa. Tumeona na kusikia mengi sana.Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu wewe mzigua kama ilivyo ID yako hao watu achana nao kabisa. Tumeona na kusikia mengi sana.Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
Kwakweli mko vizuri unampelekea mtu zawadi ya boxer, vest na socks ambazo gharama yake haizidi 20,000/= kisha unamkwanyuwa laki mbili.Sio kweli mkuu. Nawaambiaga wanaume kuwa Wanawake wanatumia pesa zao kwa wanaume vizuri tuu hakikisheni mnapendwa vizuri kabla hamjalalamika wanawake wanapenda kupokea tuu.
Sisi hatutoi pesa ila tunatoa treatment za pesa mf. zawadi, lunch, shopping (sio Socks na vest tu).
ukifosi mahusiano na mwanamke asiyekupenda haya ndio matokeo yakeSio kweli, hakuna mwanamke anaweza toa pesa yake. Mwanamke tena hasana nyie kina Chausiku wa kusini mwa jangwa la Sahara kiasili ni takers sio providers, hata akiamua kutoa anajilazimisha sanaaa, raha ya mwanamke ni kuchukua na kuchukua na kuchukua
kisha kuja tena na kuchukua na kuchukua kisha kulalamika hajapewa vya kutosha kisha kuchukua na kuchukua
Bora flat screen tumeambulia akili lolTako na akili huwa havimilikiwi na mwanamke mmoja.
Wazungu walipata elimu hii karne nyingi zilizopita, ni Waafrica wachache wamepata ufunuo huu.
Alikubali kuolewa Ili atimize Sheria ya bwana. Ila pia mume ana pesa chafu so mdada akakubali ndoa chaap Ili akazifaidi vizuriDuh hatari hii, sasa alikubali kuolewa ili iweje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh! De libolo bwana likishamkolea mwanamke basi anakuwa chizi . Kweli tuwagegegede wanawake vizuri. Hela watatupa wenyewe
Alikubali kuolewa Ili atimize Sheria ya bwana. Ila pia mume ana pesa chafu so mdada akakubali ndoa chaap Ili akazifaidi vizuri
Niambie Uislamu unasema nini juu ya mke kuwajibika kwa mumewe?Kwenye hichi kichaka cha uislamu ulichojificha, unajuwa uislamu unasema nini kuhusu mke kuwajibika kwa mume wake?
HeheHalafu utakuta wanaolalamikia wanawake humu akiambiwa amtowe kafara mke wake apate utajiri hataki.
Hakika nawaambieni hakuna mwanamke anakwenda kwa waganga kwa ajili apate utajiri, na wakianza kupata akili hiyo nyumba zote zitabaki na wajane, mwanamke akipewa condition ya kukutowa kafara hajiulizi mara mbili umekwisha, mshukuru tu wanawake hawaangaiki kupata utajiri wanawasubili nyinyi mtafute hela ili wawafirisi.
Kama hujui dini inasema nini usiingize dini kwenye mjadala.Niambie Uislamu unasema nini juu ya mke kuwajibika kwa mumewe?
naunga mkonoMwanaume anae oa kwa hii genaration anajitoa muhanga.. na wanawake wanapenda kuolewa na wanaume mazoba sikuhizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari..
Ni dhahiri hukusoma bandiko langu na pengine hukuelewa kusudi langu, tafadhali rejea tena, this time kwa utulivu huku hisia za udini ukiwa umeweka kando.Kama hujui dini inasema nini usiingize dini kwenye mjadala.
Mwanamke anayefuata mafundisho ya uislamu mume wake ataishi kama yupo peponi.
Mwanamke wa kiislamu anayejuwa dini na kushika mafundisho ya uislamu, hawezi kumuachia mtu mwingine akupikie mume wake wala kukufulia, maana kuna swawabu kubwa kwa mke kufanya hayo.Ni dhahiri hukusoma bandiko langu na pengine hukuelewa kusudi langu, tafadhali rejea tena, this time kwa utulivu huku hisia za udini ukiwa umeweka kando.
Halafu badala ya kuuliza swali ambalo wewe mwenyewe huwezi jibu njoo na maelezo ya Uislamu uusemao kuhusu wajibu wa mwanamke kwa mwanaume uone kama utakuwa na tofauti na maelezo yangu linapokuja suala la mali ya Mwanamke.
Sasa hii inahusiana nini na nilichoandika mimi?Mwanamke wa kiislamu anayejuwa dini na kushika mafundisho ya uislamu, hawezi kumuachia mtu mwingine akupikie mume wake wala kukufulia, maana kuna swawabu kubwa kwa mke kufanya hayo.
Mwanamke wa kiislamu aliyeshika dini hawezi kumnyima mume wake tendo la ndoa.
Mwanamke wa kiislamu aliyeshika dini hata kutoka tu ndani ya nyumba anapaswq kuomba ruksa kwa mume wake.
Mwanamke kiislamu mwenye kushika dini hata kwenda kwao kusalimia au kwa ndugu ni lazima kibali kitoke kwa mume, yapo mengi nimekupa machache uone hiyo 50 kwa 50 yenu inavyowapeleka jehenamu kuanzia duniani hadi Jehenamu kwenyewe.