Nyie sii hamtaki kwenda kwa sangoma🤣🤣🤣🤣Sema kuna wanawake wenzetu wana raha. Yani analelewa na ana kazi na bado pesa yake haionekani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie sii hamtaki kwenda kwa sangoma🤣🤣🤣🤣Sema kuna wanawake wenzetu wana raha. Yani analelewa na ana kazi na bado pesa yake haionekani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa Sangoma kufanya nini?Nyie sii hamtaki kwenda kwa sangoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee unadhani hao wanaume wanatoa tuu matumizi bure....walisha nyweshwa chai ya maji yaliosha mbususu ya wifeKwa Sangoma kufanya nini?
Tatizo lenu nyie mwenyewe hata hamjielewi sasa hiii 50/50 mnayoipigia kelele mnailewa kweli?Huyu atolewe kwenye makato ya Tozo zote shoga 'angu[emoji38]
Binafsi huwa simuelewi Mwanaume anayekaa na kuanza kuongelea hela ya Mwanamke..Mwanamke akupe hela yake kwa kupenda mwenyewe na siyo kulazimisha..
Ndiyo Mwanzo wa kudharauliwa..
Unatufundisha ulozi eti??Wee unadhani hao wanaume wanatoa tuu matumizi bure....walisha nyweshwa chai ya maji yaliosha mbususu ya wife
Hao baadhi wasituvurugie sifa wote.Ukitaka kuwa masking oa mwanamke wa kiafrika kama hutakufa Kwa mawazo utakufa Kwa kulishwa mavitu ya ajabu
Wewe unashida gani na ulozi wakati mrembo umeumbika, legs so sexy would make any man melt just at the sight of u...ukitaka hela zako kidume asizile siri ni moja tuu....toa uno la maana na hakikisha u damn sexy.Unatufundisha ulozi eti??
Aisee inaelekea siku una vaa shela utatomwa machozi ya furaha ya ajabu. Usisahau kunialika bwanHao baadhi wasituvurugie sifa wote.
Wapo, japo ni adimu, Nashukuru nimebahatika kwa hili.Wanawake sie ni wabinafsi sana... Kupata mwanamke mwenye utu na utulivu ni Kazi sana
[emoji23] tuombeane uzima.Aisee inaelekea siku una vaa shela utatomwa machozi ya furaha ya ajabu. Usisahau kunialika bwan
Hakuna mke humo.Mwanamke hakuwa na kazi kapata akiwa kaolewa tayari! Hivo mwanamke ni mbinafsi sana sisi wenyewe tukienda kumsalimia jamaa au kucheza Playstation anaamza nongwa!
Hongera sana.Kidhati kabisa mwanamke wa hivyo simuwezi, nashukuru mke wangu hana roho ya kiduwanzi hivyo.
Jambo la kifamilia mnakaa chini mnadiscuss linatatuliwa vipj kwa vipato vyenu, anajua changu najua chake, maisha yanasonga.
Namshukuru mungu kwa hili.
[emoji23] [emoji1787] [emoji1787]Sio sahihi
Kutompenda mume kunachangia
Ukimpenda mwenzio unavyokuwa na kiherehere
Unaweza sema kbs leo nmevunja kikoba na nna sh xx
[emoji23] sawa sawaWewe unashida gani na ulozi wakati mrembo umeumbika, legs so sexy would make any man melt just at the sight of u...ukitaka hela zako kidume asizile siri ni moja tuu....toa uno la maana na hakikisha u damn sexy.
Wacha we!!Mnapendaga mafala kama haya ndio maana mnazaa watoto wasio na akili...hivi huyu mwanaume unatarajia mwanae atarithi nini kama siyo huo utumbo huko kichwani...
WTF sasa usiulize mapato ya mwenzako ambaye umemuamini muanzishe familia ambayo litakuwa ni chimbuko la vizazi na vizazi unataka umuulize nini?
As long as unafanya kazi na nimekuoa projects zako na zangu zote ni zetu na vizazi vyetu labda tukubaliane kusaidia wengine...ukitaka kuwa kupe tulia nyumbani utahudumiwa
Sio kweli, hakuna mwanamke anaweza toa pesa yake. Mwanamke tena hasana nyie kina Chausiku wa kusini mwa jangwa la Sahara kiasili ni takers sio providers, hata akiamua kutoa anajilazimisha sanaaa, raha ya mwanamke ni kuchukua na kuchukua na kuchukuaSio sahihi
Kutompenda mume kunachangia
Ukimpenda mwenzio unavyokuwa na kiherehere
Unaweza sema kbs leo nmevunja kikoba na nna sh xx
Wanajua vipi kulea mda wote wako kazini, kwenda kusahihisha mitihani ya taifa ni mwezi mzima hayupo nyumbani.🤣🤣🤣🤣 Ila sii nasikia kwenye kikao nilicho kosa kuwa hawa walimu ndio wazuri kwa kuwaoa na wanajua kulea familia