Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Huyu atolewe kwenye makato ya Tozo zote shoga 'angu[emoji38]

Binafsi huwa simuelewi Mwanaume anayekaa na kuanza kuongelea hela ya Mwanamke..Mwanamke akupe hela yake kwa kupenda mwenyewe na siyo kulazimisha..

Ndiyo Mwanzo wa kudharauliwa..
Tatizo lenu nyie mwenyewe hata hamjielewi sasa hiii 50/50 mnayoipigia kelele mnailewa kweli?

Tena hiki kizazi cha wanaume kilicho zaliwa 2000 na kuendelea ,mnacho kikuza katika misingi ya 50/50 mpaka mashuleni mnawafundisha,mtapata nacho shida sana kwani nao wanawaza ktk mitizamo kama ya kwenu ya 50/50 cha msingi muanze kuwaelewa kwani ni hii 50/50 yenu mnayoipigania ndio imewalea.

Summary.
Kadri ya mwanamke anavyo pambana ili apate 50/50 ktk kila kitu na ndivyo idadi ya wanaume inazidi kupungua. Huko mbele mtakuwa mnadate na wavulana na si wanaume.
 
Unatufundisha ulozi eti??
Wewe unashida gani na ulozi wakati mrembo umeumbika, legs so sexy would make any man melt just at the sight of u...ukitaka hela zako kidume asizile siri ni moja tuu....toa uno la maana na hakikisha u damn sexy.
 
Mwanamke hakuwa na kazi kapata akiwa kaolewa tayari! Hivo mwanamke ni mbinafsi sana sisi wenyewe tukienda kumsalimia jamaa au kucheza Playstation anaamza nongwa!
Hakuna mke humo.
 
Wewe unashida gani na ulozi wakati mrembo umeumbika, legs so sexy would make any man melt just at the sight of u...ukitaka hela zako kidume asizile siri ni moja tuu....toa uno la maana na hakikisha u damn sexy.
[emoji23] sawa sawa
 
Mnapendaga mafala kama haya ndio maana mnazaa watoto wasio na akili...hivi huyu mwanaume unatarajia mwanae atarithi nini kama siyo huo utumbo huko kichwani...

WTF sasa usiulize mapato ya mwenzako ambaye umemuamini muanzishe familia ambayo litakuwa ni chimbuko la vizazi na vizazi unataka umuulize nini?

As long as unafanya kazi na nimekuoa projects zako na zangu zote ni zetu na vizazi vyetu labda tukubaliane kusaidia wengine...ukitaka kuwa kupe tulia nyumbani utahudumiwa
Wacha we!!
 
Sio sahihi

Kutompenda mume kunachangia

Ukimpenda mwenzio unavyokuwa na kiherehere
Unaweza sema kbs leo nmevunja kikoba na nna sh xx
Sio kweli, hakuna mwanamke anaweza toa pesa yake. Mwanamke tena hasana nyie kina Chausiku wa kusini mwa jangwa la Sahara kiasili ni takers sio providers, hata akiamua kutoa anajilazimisha sanaaa, raha ya mwanamke ni kuchukua na kuchukua na kuchukua

kisha kuja tena na kuchukua na kuchukua kisha kulalamika hajapewa vya kutosha kisha kuchukua na kuchukua
 
🤣🤣🤣🤣 Ila sii nasikia kwenye kikao nilicho kosa kuwa hawa walimu ndio wazuri kwa kuwaoa na wanajua kulea familia
Wanajua vipi kulea mda wote wako kazini, kwenda kusahihisha mitihani ya taifa ni mwezi mzima hayupo nyumbani.

Inshort ni wajuaji na wanaviburi watakufokea kama wanavyowafokea wanafunzi wao.
 
Back
Top Bottom