Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Endelea kujidanganya....hela ya mwanamke haina mwisho mzuri

Mwanaume unakuwa unadharaulika sana
Kwani hela ya mwanaume inakuwaga na mwisho mzuri? Wee kama ananipa hela mie natakiwa kumkula mbususu huo tayari mwisho mzuri
 
Mwanamke analipwa Mshahara mwisho wa mwezi hatoi hata 100 unampa hela ya Matumizii katikato ya mwezi anaanza kukuomba helaaa...!! Yani inafika point inabdi uhoji Pesa yake anafanyia nini unaweza kuta unajitesa umridhishe na mahitaji yake kumbe mwenzio anajenga nyumba mahalii ukoo...
 
Kuna concept moja inabidi tuikumbuke. Wananwake nao wamekuwa wakikwepa majukumu yao.
Kweli napaswa nimtunze na kila kitu lakini naye akae kwa munyumba alee watoto sio kumuachia housegelo
Sina tatizo na hilo kabisa, muhimu ni kwamba muwe mmekubaliana kabla hamjala kiapo.
Ili jaue kabisa maisha anayokwenda kuishi na wewe ndipo aamue kuwa na wewe au la!!
 
Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja

Ghafla message inaingia naomba uniagaiwe pesa ya Kama 50k matumizi hakusema nikamwambia jamani hata salamu tujuliane hali kwanza "aah sorry ' vip anajibebisha nikamwambia yote kuhusu simu 'ndo maana meseji WhatsApp hujibu" nikamwambia ndio akasema "sawa"

Balaa anasema sasa pesa utanitumia saa ngapi au niifuate ***** zake kwa kweli hata pole

Wanawake ni wabinafsi sana nimeona sehemu nyingi kuanzia nyumbani kwangu.

Ni vile hatuwezi kuandika kila jambo mtandaoni ila ningewapa kisa kimoja sema kimekaa kifamilia sana
 
Wanawake ni wabinafsi sana nimeona sehemu nyingi kuanzia nyumbani kwangu.

Ni vile hatuwezi kuandika kila jambo mtandaoni ila ningewapa kisa kimoja sema kimekaa kifamilia sana
Yaah mkuu ni asili yaooo...!! Kulibadilisha hili ni ngumu tuishi nalo tu
 
Sijawahi kuwaza hela ya mwanamke hata mara 1.

Usipange mipango na mwanamke hata siku 1.

Wewe kama Una familia kama unataka kujenga nyumba Jenga peke yako Ila mpe taarifa. Kila kitu mpe taarifa Ila usitake eti mgawane gharama utakuja kulia.
 
Utakuja kulia kwa sababu gani?

Maana hata ukijenga mwenyewe siku mkiachana atalilia mgawane na mahakamani ataenda kudai kabisa

Hawa watu ni wanyang’anyi sana kuliko tunavyowachukulia
 
Mwanamke analipwa Mshahara mwisho wa mwezi hatoi hata 100 unampa hela ya Matumizii katikato ya mwezi anaanza kukuomba helaaa...!! Yani inafika point inabdi uhoji Pesa yake anafanyia nini unaweza kuta unajitesa umridhishe na mahitaji yake kumbe mwenzio anajenga nyumba mahalii ukoo...
Na wengi huwa wanajenga, au wananunua Asset kwa siri.
 
Na ndio sababu mojawapo ambayo wake wengine wanayo on their minds kwamba wasiopowakamua hela mpaka tone la mwisho hela mtaenda kuzimaliza kwa michepuko,

Kwa hiyo wanaona afadhali wakakamue mtimize majukumu ya familia ili kama ikibidi michepuko mkawale bure kama watawaelewa.
Sasa what if ukipata mchempuko ambaye yuko honestly na wewe kwenye financial yake?
 
Mkuu, kama wanandoa hao ni waislamu waache kama walivyo.

Maana kwenye Uislamu jukumu la kumtunza mtoto wa kike ni la baba yake, akifa basi kaka zake wa kiume watawajibika kumtunza.

Matunzo hayo ni pamoja na kumpa pesa ya saloon na matumizi yake binafsi.

Ikitokea akaolewa basi jukumu linahamia kwa mumewe, hata M/ke akiwa na kazi mwanaume anawajibika kulea watoto na mke pia. Atawajibika kumpa pesa ya kula, saloon, kununua nguo na mahitaji yote.

Mwanamke kutoa pesa yake ktk majukumu ya kifamilia aamue tu kwa mapenzi kumsaidia mumewe.

Kiufupi ni; Cha mwanamke ni cha mwanamke cha mwanaume ni cha wote.

NIMESEMA KWA MUJIBU WA UISLAMU.
Kwenye hichi kichaka cha uislamu ulichojificha, unajuwa uislamu unasema nini kuhusu mke kuwajibika kwa mume wake?
 
Wanaume bado wapo, ukiachana na yale mafurushi mengine.
Mnapendaga mafala kama haya ndio maana mnazaa watoto wasio na akili...hivi huyu mwanaume unatarajia mwanae atarithi nini kama siyo huo utumbo huko kichwani...

WTF sasa usiulize mapato ya mwenzako ambaye umemuamini muanzishe familia ambayo litakuwa ni chimbuko la vizazi na vizazi unataka umuulize nini?

As long as unafanya kazi na nimekuoa projects zako na zangu zote ni zetu na vizazi vyetu labda tukubaliane kusaidia wengine...ukitaka kuwa kupe tulia nyumbani utahudumiwa
 
Back
Top Bottom