Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
This clip never gets oldUkitaka kuwa masking oa mwanamke wa kiafrika kama hutakufa Kwa mawazo utakufa Kwa kulishwa mavitu ya ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This clip never gets oldUkitaka kuwa masking oa mwanamke wa kiafrika kama hutakufa Kwa mawazo utakufa Kwa kulishwa mavitu ya ajabu
Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lakeWee unadhani hao wanaume wanatoa tuu matumizi bure....walisha nyweshwa chai ya maji yaliosha mbususu ya wife
Ndoa ni kuhudumiana its a two way traffic....tu akishaona ni one way traffic ujue unaleta majanga. Na nyie wanawake mbona mnaona ndoa kama ni mwanamke kuhudumiwa tuuHamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
Eeeh kwa sababu sisi tutazaa kwa uchungu nyie muhudumieNdoa ni kuhudumiana its a two way traffic....tu akishaona ni one way traffic ujue unaleta majanga. Na nyie wanawake mbona mnaona ndoa kama ni mwanamke kuhudumiwa tuu
Na wewe jukumu lako ni lipi ?!! Maana kulea siku hizi ni jukumu la "dada wa kazi" na wewe mshahara wako ni kwa ndugu na marafiki zako. Swali, majukumu yenu kina Chausiku ni yapi ?! (maana midomo mirefu sana kutaja majukumu ya wanaume, yenu ni YAPI KINA CHAUSIKU ?Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
Kuzaa kwa uchungu kwenyewe mnakukwepa....visu vimetawalaEeeh kwa sababu sisi tutazaa kwa uchungu nyie muhudumie
Kumbe ni kuzaa kwa uchungu "peke yake" je na manyonyo walipewa "dada wa kazi" au mnayo nyie mliozaa kwa uchungu ?!, na kama mnayo nyie ya kazi gani kama watoto wanapewa maziwa ya kopo nyie mko "kazini" ?!Eeeh kwa sababu sisi tutazaa kwa uchungu nyie muhudumie
Jenga yeye asijueUtakuja kulia kwa sababu gani?
Maana hata ukijenga mwenyewe siku mkiachana atalilia mgawane na mahakamani ataenda kudai kabisa
Hawa watu ni wanyang’anyi sana kuliko tunavyowachukulia
Ule uzi uliandaa fanya hima weka haraka maana hawa wanawake washaanza kutupanda akiliSio kweli, hakuna mwanamke anaweza toa pesa yake. Mwanamke tena hasana nyie kina Chausiku wa kusini mwa jangwa la Sahara kiasili ni takers sio providers, hata akiamua kutoa anajilazimisha sanaaa, raha ya mwanamke ni kuchukua na kuchukua na kuchukua
kisha kuja tena na kuchukua na kuchukua kisha kulalamika hajapewa vya kutosha kisha kuchukua na kuchukua
Sisi tumetafuta urahisi wa kutumikia laana yetu, na nyie tafuteni urahisi wa kutumikia laana yenu.Kuzaa kwa uchungu kwenyewe mnakukwepa....visu vimetawala
Hasira za nini mkuu? Mbona tunajadili kawaida tu? Hizo kuitajana mjinga sijui unafki za nini? Nakuomba kama huwezi kujadili kwa staha usiniquoteKumbe ni kuzaa kwa uchungu "peke yake" je na manyonyo walipewa "dada wa kazi" au mnayo nyie mliozaa kwa uchungu ?!, na kama mnayo nyie ya kazi gani kama watoto wanapewa maziwa ya kopo nyie mko "kazini" ?!
Kama umekumbuka mliagizwa kuzaa kwa uchungu wanaume kula kwa jasho katika kitabu cha Mwanzo: 2 je mnakumbuka pia kua aya ioayofuata mliagizwa kua "chini ya mwanaume" na sio maujinga yenu ya 50/50 haki sawa ?! au mnakumbuka pale panapowafurahisha tu ?!
For once, acheni unafiki.
Hili la sisi na ubinafsi hata sio uongo. Tunapenda kupokea kuliko kutoa na tukitoa huyo mpokeaji ipo siku atajuta kwanini alipokea. Ila wapo wengine sio wachoyo akipata anashare na mwenzie hata kama sio kwa kiwango anachopokeaWanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu.
Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia.
Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa zao wanazihifadhi wakati za mwanaume zinatumika kwenye familia.
Halafu kweli. Hata makazini tunajitolea tu hatulipwiPesa zipi?
Wanawake hawana hela Mkuu.
Wanaume mnateseka [emoji119][emoji119][emoji119]Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja
Ghafla message inaingia naomba uniagaiwe pesa ya Kama 50k matumizi hakusema nikamwambia jamani hata salamu tujuliane hali kwanza "aah sorry ' vip anajibebisha nikamwambia yote kuhusu simu 'ndo maana meseji WhatsApp hujibu" nikamwambia ndio akasema "sawa"
Balaa anasema sasa pesa utanitumia saa ngapi au niifuate ***** zake kwa kweli hata pole
Sio kweli mkuu. Nawaambiaga wanaume kuwa Wanawake wanatumia pesa zao kwa wanaume vizuri tuu hakikisheni mnapendwa vizuri kabla hamjalalamika wanawake wanapenda kupokea tuu.Kama umeoa mwanamke mwenye kazi ili akusaidie majukumu basi imekula kwako mwanamke ameumbwa kupokea tu sio kutoa ndo maana ukitaka vita ya Ukraine na Russia mkopeshe mwanamke halafu umdai uone atakavyokupiga chenga ya mwili ndo wanawake walivyo.
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.
Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?
Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Kweli wee mzigua...maneno hayakuishiSisi tumetafuta urahisi wa kutumikia laana yetu, na nyie tafuteni urahisi wa kutumikia laana yenu.
Unakuja mkuuUle uzi uliandaa fanya hima weka haraka maana hawa wanawake washaanza kutupanda akili
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kweli wee mzigua...maneno hayakuishi