sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Sawa. Lakini je mimi nalipwa 900,000k yeye analipwa 1.3ml haionekani katika familia. Inaenda wapi? Kwa maisha ya sasa?Wanaume wa leo tunazidi kupoteza hadhi yetu kwenye jamii.
Yaani sasa inafika kipindi wanaume tunalalamika kwanini wanawake hawatusaidii majukumu kha!!!!
Ukishasaidiwa majukumu na mwanamke basi jua uhuru wako na hadhi yako kama mwanaume kwa kiasi fulani vitaanza kupungua.