Possibles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 1,933
- 2,439
Nilipokaribia kuoa mzee wangu aliniita akaniiliza maswali kadhaa yakiwemo.Hiv wanaume mlipoambiwa mtakula kwa jasho mlielewa nini? Na mwanaume ela yako isipohudumia familia unataka uipeleke wapi?
1. Kama ninampenda huyo mwanamke.
2. Kama nina uwezo wa kumlisha na kumvesha.
3. Kama nina mahala pa kumuweka baada ya kumuoa (alimaanisha makazi).
Baada ya hapo ndipo akamuua kuunda jopo la kwenda kujitambulisha, kulipa mahari na kuandaa harusi.
Sasa hawa wanaume wa siku hizi sijui walilelewaje au sijui walipewa maelekezo gani na wazee wao walipofikia uamuzi wa kuoa.