Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hiv wanaume mlipoambiwa mtakula kwa jasho mlielewa nini? Na mwanaume ela yako isipohudumia familia unataka uipeleke wapi?
Nilipokaribia kuoa mzee wangu aliniita akaniiliza maswali kadhaa yakiwemo.

1. Kama ninampenda huyo mwanamke.
2. Kama nina uwezo wa kumlisha na kumvesha.
3. Kama nina mahala pa kumuweka baada ya kumuoa (alimaanisha makazi).

Baada ya hapo ndipo akamuua kuunda jopo la kwenda kujitambulisha, kulipa mahari na kuandaa harusi.

Sasa hawa wanaume wa siku hizi sijui walilelewaje au sijui walipewa maelekezo gani na wazee wao walipofikia uamuzi wa kuoa.
 
Hili swala limekuwa changamoto kubwa kwa wanaume ambao wameoa wafanyakazi! Nimeshuhudia ndoa kadhaa zikiwa na changamoto kama hizo!

Tunakokwenda Bora hata kuoa Mama wa Nyumbani ambaye kuwa achilia mbali atakuwa mwangaliafu na matumizi ya fedha lakini atakunyenyekea,lakini siyo hawa!
 
Hayo atajua yeye.
Wewe kwanini kutaka kufatilia pesa ya mkeo? Unaitaka?
Wewe ndiye ulimualika huyo mwanamke kwenye maisha yako maana yake ulimwalika muishi naye kwa kutumia unachokipata.

Kwamba ulijitathimini ukiajiridhisha kuwa unao uwezo wa kutunza mwanamke pamoja na watoto kwa kipato unachopata.

Kuanza kuzengea pato la mwanamke ati linaenda wapi ni kuanza kupoteza focus kwenye kutafuta pesa.
Somehow you are right but anaenda kazini kufanya nini? Akae nyumbani basi nimtunze.
 
Somehow you are right but anaenda kazini kufanya nini? Akae nyumbani basi nimtunze.
Ndio maana nasema wewe ndiye ulimualika kwenye maisha yako. Utaratibu huo wa yeye kuwa mama wa nyumbani na wewe umtunze ulipaswa kumueleza tangu mwanzo ili aamue kukubali ama la!

Unaishije na mtu ambaye hamjakubaliana chochote kuhusu mtaishije halafu ghafla tu unaanza kudai mshahara wake!!!?
 
Hili swala limekuwa changamoto kubwa kwa wanaume ambao wameoa wafanyakazi! Nimeshuhudia ndoa kadhaa zikiwa na changamoto kama hizo!

Tunakokwenda Bora hata kuoa Mama wa Nyumbani ambaye kuwa achilia mbali atakuwa mwangaliafu na matumizi ya fedha lakini atakunyenyekea,lakini siyo hawa!

Nyie si huwa mnajifanya kina tupatupa kwa kuwapa hela michepuko kama hamna akili nzuri?!

Mnamaliza rasilimali za familia kwenda kuibiwa nje lakini Kwa mke halali mnalalamika ?!

Tena nasema waendelee kuwashikilia hapohapo [emoji108]

Na hapo ndipo vichwa vya wanaume huharibika because of too much demand toka ndani kwa mke na nje kwa michepuko.

Hapo ndipo mvurugiko wa akili huanza kutokea na Mwanaume kuonekana kuchooka na kuanza kuota mvi za kabla ya umri!
 
Hayo atajua yeye.
Wewe kwanini kutaka kufatilia pesa ya mkeo? Unaitaka?
Wewe ndiye ulimualika huyo mwanamke kwenye maisha yako maana yake ulimwalika muishi naye kwa kutumia unachokipata.

Kwamba ulijitathimini ukiajiridhisha kuwa unao uwezo wa kutunza mwanamke pamoja na watoto kwa kipato unachopata.

Kuanza kuzengea pato la mwanamke ati linaenda wapi ni kuanza kupoteza focus kwenye kutafuta pesa.
Mmeona mwanaume?

Espy Atoto
to yeye
Kelsea
Makiwendo
 
Duh! De libolo bwana likishamkolea mwanamke basi anakuwa chizi . Kweli tuwagegegede wanawake vizuri. Hela watatupa wenyewe
Endelea kujidanganya....hela ya mwanamke haina mwisho mzuri

Mwanaume unakuwa unadharaulika sana
 
Nilipokaribia kuoa mzee wangu aliniita akaniiliza maswali kadhaa yakiwemo.

1. Kama ninampenda huyo mwanamke.
2. Kama nina uwezo wa kumlisha na kumvesha.
3. Kama nina mahala pa kumuweka baada ya kumuoa (alimaanisha makazi).

Baada ya hapo ndipo akamuua kuunda jopo la kwenda kujitambulisha, kulipa mahari na kuandaa harusi.

Sasa hawa wanaume wa siku hizi sijui walilelewaje au sijui walipewa maelekezo gani na wazee wao walipofikia uamuzi wa kuoa.
Kuna concept moja inabidi tuikumbuke. Wananwake nao wamekuwa wakikwepa majukumu yao.
Kweli napaswa nimtunze na kila kitu lakini naye akae kwa munyumba alee watoto sio kumuachia housegelo
 
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.

Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?

Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Mkuu, kama wanandoa hao ni waislamu waache kama walivyo.

Maana kwenye Uislamu jukumu la kumtunza mtoto wa kike ni la baba yake, akifa basi kaka zake wa kiume watawajibika kumtunza.

Matunzo hayo ni pamoja na kumpa pesa ya saloon na matumizi yake binafsi.

Ikitokea akaolewa basi jukumu linahamia kwa mumewe, hata M/ke akiwa na kazi mwanaume anawajibika kulea watoto na mke pia. Atawajibika kumpa pesa ya kula, saloon, kununua nguo na mahitaji yote.

Mwanamke kutoa pesa yake ktk majukumu ya kifamilia aamue tu kwa mapenzi kumsaidia mumewe.

Kiufupi ni; Cha mwanamke ni cha mwanamke cha mwanaume ni cha wote.

NIMESEMA KWA MUJIBU WA UISLAMU.
 
Hivi jamani kwa nini watu wanaona kuwa mke kutombwaa nje ni ajabu? Sii wanaenda kujifunza style mupya

Itakuwa ni ubinafsi tu Yani!

Kwa Mwanaume ambae hachepuki nje ya ndoa nitamuelewa lakini anayechepuka itakuwa ni ubinafsi.

Mke na mume wote wana wajibu wa kutulia na kuwa waaminifu kwenye ndoa na kuwepo na free access za simu n.k
 
Kabisa nashangaa wee mwanaume unasasambua mbususu huko nje sasa mke wako akitombwer wat the problem is?

Alafu mbona tunajisahaukisha kuwa condition ya kwanza kuingia kwenye ndoa ni watu kuwa bikra...tunaoana tukiwa breki pumbuz alafu unatengemea asitombwee...wanaume tuna expectations za ajabu sana
 
Back
Top Bottom