Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Awe makini huyo mwanaume,,wanawake Kuna mda tuna mambo ya ajabu sana. Usikute Kuna jamaa anakula Hela za huyo bidada.

Nina mfano wa ndugu yangu mkewe anapata Hela nyingi tu kama 1.5m Sasa kumbe amempangishia nyumba njemba na anakopa mikopo anampa huyo njemba wa nje



Ni kama ambavyo na nyie huwa mnapigwa
Mizinga na michepuko huko nje au siyo [emoji38][emoji38]

Ngoma droo hiyo!
 
Wanaume wa leo tunazidi kupoteza hadhi yetu kwenye jamii.
Yaani sasa inafika kipindi wanaume tunalalamika kwanini wanawake hawatusaidii majukumu kha!!!!
Ukishasaidiwa majukumu na mwanamke basi jua uhuru wako na hadhi yako kama mwanaume kwa kiasi fulani vitaanza kupungua.
Usijifanye nunda kama mkeo anafanya kazi na anakuzidi kipato. Mnatoka wote asubuhi mnarudi jioni wote alafu pesa zake ni kwa ajili ya kitchen part? Na wewe mwanaume unakenua meno eti nahudumia kila kitu ili nisipoteze sauti
 
Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja

Ghafla message inaingia naomba uniagaiwe pesa ya Kama 50k matumizi hakusema nikamwambia jamani hata salamu tujuliane hali kwanza "aah sorry ' vip anajibebisha nikamwambia yote kuhusu simu 'ndo maana meseji WhatsApp hujibu" nikamwambia ndio akasema "sawa"

Balaa anasema sasa pesa utanitumia saa ngapi au niifuate ***** zake kwa kweli hata pole
Mnawatoaga wapi wanawake wenu?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo la kuoa ili mradi ndio hili,badala ya kuoa mwanamke
Siku hizi wanaolewa wasomi wenye kazi au kipato ili wasaidiane maisha, sasa wengine ambao hawajabahatika kusoma saaana ndiyo tunaangukia hawa wasiojua umuhimu wa mke, dunia hii haiko fair kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni heri ukosee kujenga ila usiombe kukosea kuoa/kuolewa, utajuta maisha yako yote. Kwa kifupi jamaa yako alikosea kuoa na hayo ndio matunda ya makosa yake.
Tusilaumu sana wanawake wakati mwingine wanaume huanza wao wenyewe, nilishuhudia ugomvi nikawa jaji kwa muda, Mme na mke wote wafanyakazi na kazi zao ni sawa, ila Mme anapambana sana, ila sasa pesa nyingi inaishia kusaidia ndugu zake, Dada zake wanafyatua tu huko matumizi kwa kaka, sasa kaka naye matumizi yanakuwa makubwa anataka na pesa ya mkewe nayo ifanye kazi hiyo, mkewe alipogoma ugomvi mkubwa ukazuka .
 
Adui wa mwanamke daima ni mwanamke mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kwenye ukweli tuseme tu.
Hapo umesema kweli, kuna mmoja alikuwa anamwambia kaka atafute mke mwingine, sasa matokeo yake nayeye kaenda kuchepuka Mme kajua kamfurusha kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Back
Top Bottom