Hela yao wanafanyia matumizi mbalimbali ya vitu vidogo vidogo ambavyo me wengi hupotezea nakuona Kama havina maana mfano makufuri,nguo za watoto,nyanya ,vitunguu,matunda,pedi,kuchangia sherehe kwa wenzao ambao pia waliwachangia wakati wa sherehe zao,sadaka kanisani,kusuka,kununua marashi,kula wawapo kazini,kulipia nauli wakati wa kwenda na kurudi kazini,kusaidiwa ndugu zao hayo Ni baadhi tu ya matumizi.Kama kuna me unamfanyia yote hayo mkeo na bado hela yake huoni Basi Ana pepo.
Cha kumalizia tu Ni kwamba asilimia kubwa ya me hela ya matumizi inayotolewa kwny family haitosherezi ke wanafanya kujiongeza na kujazia siku zinasogea