The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
mwanaume wa hivo wa nini sasa, huyo mwanaume kalelewa malezi mabovu amuache tu ajielewi,sasa kuna watu hawaamino, trust me wana watoto wawili na akiamka asbh anahakikisha maji ya kuoga ya moto ya bab na mtoto yako tayar baba akiamka yeye anaogesha mtoto anapeleka shule ila mama akirud anampitia mtoto kwabibi yake akirud afue uniforms zake na za mtoto apike mume aje wakat huo mume akitokea maskani walale
Njoo sebuleni tutaongea vizuri sana na kuyajenga pamoja 😘We liweke hapa hilo somo
Huna hoja mpumbavu wewe unajifanya kushauri wenzio wabaki kwenye ndoa za kipumbavu hovyo kabisa, dume zima unasupport mwanaume kuhudumiwa na mkewe kama lilemavu na unaona sawa tu eti kisa mwanamke anataka ndoa, waume kama wewe mnatakiwa mchapwe viboko hadharani kisha mfungwe mawe makubwa mtupwe bahariniNjoo sebuleni tutaongea vizuri sana na kuyajenga pamoja [emoji8]
HakikaHuku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
Wewe ndio mpumbavu nambari moja kwa sababu ni mwanamke uliyekubali kuolewa pasipokujua nini maana ya ndoa.Huna hoja mpumbavu wewe unajifanya kushauri wenzio wabaki kwenye ndoa za kipumbavu hovyo kabisa, dume zima unasupport mwanaume kuhudumiwa na mkewe kama lilemavu na unaona sawa tu eti kisa mwanamke anataka ndoa, wanaume kama wewe mnatakiwa mchapwe viboko hadharani kisha mfungwe mawe makubwa mtupwe baharini
Oohh kumbe ulikuwa una uwezo wa kunijibu hoja yangu sasa muda wote huo ulikuwa unajizungusha nini au ulitaka kuleta mazoea ya kipuuzi, kwenye hiyo mada hujasoma kwamba mke ndiye anayetafuta pesa na kulisha familia au unajitoa ufahamu haya niambie kutafuta pesa na kulisha familia ni jukumu la nani kwahiyo kukubali kuolewa maana yake ndio mume amuachie majukumu yote mke, mimi nishavuka level za kuenda kwa hao matapeli wenu wanaojiita manabii kuomba nipate mume mpumbavu kama wewe eti ili mradi nionekane nimeolewa hayo watishieni wanawake masikini wasiojielewa na wenye low self esteemWewe ndio mpumbavu nambari moja kwa sababu ni mwanamke uliyekubali kuolewa pasipokujua nini maana ya ndoa.
It is very clear from the bible kuwa anayeolewa ni mwanamke na sio mwanaume -hakuna kitu kinaitwa kuoana - bali mwanamke ndiye anayeolewa .
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa MWANAMKE akikubali kuolewa maana yake amekubali kulala bila kuvaaa PICHU na ndio humpa fursa mume ya kumuingilia. Kubali hilo.
Shida iliopo ni kuwa kabla hamjaolewa mnajifanya watakatifu kwa kuficha makucha yenu, na mnasugua magoti makanisani kuomba muolewe lakini mkishaolewa na kuwekwa ndani mnaanza kuleta ujuaji.. eti mke anachoka na kazi kwani kabla ya kuolewa hukujua kama utakuwa na kazi ? Hukujua wajibu wa mke utakuwa ni Nini? Au we ulitaka tu show off uonekane umetoa mkosi/nuksi?
Kwani mume wako ameoa mwanamke au ameoa kazi yako?
Nyie wanawake mbona hamjielewi? Wanawake kama nyie ndio mnaoogoza kwenda kwa mwamposa na kuombewa na manabiii feki kwa ujinga wenu.
Mkiachwa mnaanza ohoooo mwanaume wangu siku hizi sijui nini mara nini.
UKIKUBALI KUOLEWA FUATA MASHARITI YA NDOA IKIWEPO KULALA BILA PICHU NA MENGINEYO IKIWEPO KUPIKA, USAFI, N.K
Tatizo sio kazi za ndani, tatizo ni mentality ya huyo mtu unayeishi nayeYaani uvunje ndoa kisa kazi za ndani tu ?...huwezi kufikiria kutafuta mfanyakazi ?