Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.

Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Kwa hiyo umejikokota umeona uje na huu ushuzi?
 
We unakichaa hana shughuli yoyote wakati umesha sema analima bustani ya mboga, unadharau shughuli za watu.
 
Kama haya ndio mke ameanza kuwasimulia rafiki zake hiyo ndoa Haina uhai siku zake zimefika mwisho
 
Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.

Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Dah! mbaya sana hii
 
Nilikuja kuamini kuwa what matters ni mapenzi ya wawili!! Ukipenda unaweza kulamba kinyesi cha mpenzio na usione ajabu!! Kikubwa upendo!!

Hapa DSM kuna dada mumewe pia hana kazi na ni msomi tu!! Jamaa anachofanya asubuhi na mapema anamleta mkewe kazini anaondoka anaenda zake misele, na gari ikifika jioni anamfuata mkewe!! Maisha yanasonga!!

Kikubwa mkewe karidhia hivyo alivyo na hajali kikubwa wanapendana!! Jamaa wala hjiangaishi kutafuta kazi na unaambiwa hataki!!
Binafsi nimewahi kushuhudia familia ambayo baba alipata Ile shida ya magufuli vyeti fake mke akawa anasimamia show ye hupita dukani kwangu na kuacha hela ambayo mme hujakuichukua (ye anachukua nauli mara nyingi ilikuwa 10000) sijui kama huko ndani walikuwa hawaelewani ila kwa kipindi chote Cha jamaa kuwa na msoto mke alisimamia show kwa utu na utulivu hatari anyway wao hawakuwa na majani ya kulima
Ila jamaa lazima huwa anajishughulisha ila vile mke kamchoka basi hakuna namna atachafuliwa ili atupwe kama pampers maana mtoa mada ndio mshauri mkuu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Vijijini uko mwanamke analima kulisha familia, mwanaume kazi yake kupiga soga vilabu vya ulanzi..! Kwakweli kuna wanawake wanateseka sana na wanaume wa aina hiyo
 
Huku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
Can I marry you please...?
 
Back
Top Bottom