Dr Alfonsi
Member
- Jun 16, 2023
- 36
- 72
Yes, when someone read your comments and the thread between the lines, no doubt, the said woman is YOUmimi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, when someone read your comments and the thread between the lines, no doubt, the said woman is YOUmimi tena?
Sasa kama huyu jamaa analima mboga hachangii kabisa hata hicho chochote kitu anachopata kwenye bustani ?inawezekana kuwasilisha mada kuna sehem nimewasilisha vibaya lakini kwa kufupisha mwanaume analima mboga lakini kitendo cha kulima nyasi za nyumban kwake ni swala ambalo halipo sasa mke zimkere ashike jembe alime
hahaha mkuu kwa hio tusianzishe thread ni tunaianzishia wenyewe? tusianzishe mada zinatuhusu? huyu msichana ni shoga angu tena tumetoka mbali sana lakini hapa tubnimemsnitch kulileta hapa yeye kunihadithia mm mimi nimelileta hapa ila ukweli nakiri ts not me sasa uamini usiamini hiyo sio shida yangu, mkiambiwa mtember muone mambo mnadhani nibmaghorofa stendi?Yes, when someone read your comments and the thread between the lines, ni doubt, the said woman is YOU
bustani imeanza hivi karibuni ndio inaandaliwa hapo kabla ni mtu wa kulala mchana jioni akakae maskaniSasa kama huyu jamaa analima mboga hachangii kabisa hata hicho chochote kitu anachopata kwenye bustani ?
Pilipili usiyoila inakuwashia nini? Kama wao wanaishi vizuri...wewe unayajadili maisha yao kama nani? Unless wewe uwe ndio huyo mwanamke ila umekuja kwa njia tofautiMwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Ahahahaha basi bi mkubwa ndani alimsema akampa na kimtaji cha kuanzia tuwaombee hii labda inaweza kuwabadilishia upepo !!bustani imeanza hivi karibuni ndio inaandaliwa hapo kabla ni mtu wa kulala mchana jioni akakae maskani
Sasa si ndo anataka kuwa wife material atafanyeje??lakini sio swala la kujimwambafy swala ni je anapumzika saa ngapi kuna kipindi kitafika hata kutoa unyumba hatoweza ndio mwazo wa kugombana mana mwanaume atahisi tu anachapiwa kumbe mwenzio yu hoi
Kwakifup huyu mamamwana ndiye muhanga wa hil jambo. Pole sn Dada angu kw yanayokusibu hiyo ndio Ndoa uliyopewa na MunguPilipili usiyoila inakuwashia nini? Kama wao wanaishi vizuri...wewe unayajadili maisha yao kama nani? Unless wewe ndio huyo mwanamke ila ukuja kwa njia tofauti
kwa kweli,Ahahahaha basi bi mkubwa ndani alimsema akampa na kimtaji cha kuanzia tuwaombee hii labda inaweza kuwabadilishia upepo !!
Watu wengine pia kuwa wavivu na tegemezi ni kutokana na malezi mabaya ya huko utotoni ! Leeni watoto vizuri kwa misingi ya kujituma na utu !!
Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Kwa hiyo Jimbo lipo wazi ??Huku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
Kitambo mbonaKwa hiyo Jimbo lipo wazi ??
Sio bure huyo bwana hata usafi wake tu ni shida kubwa kama hali ndio hiyondicho nilichohadithiwa yan hata nyas ziote mume anazipita asbh na hamsini zake bibi zimkere ndio ashike jembe alime
Kuna watu wanasema wapo kwenye ndoa ila ukweli ni kuwa wapo katika gereza la mateso makali sana.Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Mume mzaliwa wa mkoa ganimume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Duh pole sanaHuku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
Mkuu hapa sijakuelewa, ni kwmba unamuonea huruma mwanamke mwenzio?, unashangaa kuona mwenzio anavyoweza kumudu majukumu yote bila lawama? au unatamani nyote mngekuwa kama huyo mdada?Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Ok nimekupata sasa point yakomimi ndio nachojiuliza sawa asbh ukishampeleka mtoto unaenda shamba mchana kutwa kusonga ugali size yake hawez anakaa na njaa had mke arud jioni wapike ugali wale kuna watu wana mioyo ya kuvumilia sana