Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Umeandika uzi juu ya uzi
 
Usisingizie misemo wee u just lowered ur standards🤣🤣🤣🤣
Linapokuja suala la kuwa na soulmate💚...feeling ni tofauti na inaweza isiwe kutamani kwa ile mara ya kwanza. Binafsi na fall in love na personality ya mtu.
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza kabisa usipendezwe kabisa na muonekano wake na wala huwazi kama anaweza akawa mpenzi wako kwa namna yoyote ile, lakini kadri mnavyozidi kuwa karibu na kujuana unajikuta unaanza kumpenda.
Na uwezekano wa nyie kwenda mbali na kufikia ndoa ni mkubwa.
 
Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa
Mojawapo ya laana ya Mungu kwa mwanamke baada ya kula tunda katika bustani ya Edeni ni kutawaliwa na mwanaume na kumtamani mwanaume.
 
Fact😍
 
Mwanaume anayejitambua na mwenye malengo na mwanamke wowowo sio kipaumbele chake asimilia kubwa wanaoangalia wowowo kama kigezo kikuu hao ni Wanaume malaya weka hii kichwani.
Ukitulia unaandika vitu vya msingi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…