Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Huyo mfupi nilikua nae kipindi kile binti kabisa bado nipo sokoni wee vipi bwana 😃😃
Sasa kwani ukiwa binti sii ndio unatakiwa uwe very picky maana bado mwili unadai.
Wee sema ulipenda hela zake tuu
 
I beg to differ.
 
Mwanaume anayejitambua na mwenye malengo na mwanamke wowowo sio kipaumbele chake asimilia kubwa wanaoangalia wowowo kama kigezo kikuu hao ni Wanaume malaya weka hii kichwani.
Ur heinous comment shall be stricken off the record.🤣🤣🤣🤣
 
Nakubaliiiii dear, hapa umepiga mule mule.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Lipo wazi ni lazima upinge.
Huamini kwenye ndoa ulishasema. Ningeshangaa kama ungekubaliana na mimi.
Uzuri wako wewe bwana ni kwamba we disagree but atleast we know where u stand
 
Aisee unaonekana mkali sana nimekutania mkuu🤷🏼‍♀️
Hapana sijakasirika ila nimeshangaa tu ni sawa na mtu akwambie nimekuona umempora mwanadada pochi sehemu fulani yaani ni mwizi alafu ukijiangalia huna hizo pigo lazima ushangae
 
Huo ndio ukweli ni vema tuukubali
Sio ukweli bwana....sasa wee kama unapenda tako utaachaje kuoa mwanamke mwenye tako?
Kwanza inaanza physical attraction ndio tunakuja kuangalia personality ya mtu na kutaka kumjuankwa ndani zaidi.

Yaani mie napenda tako nioe mwanamke flat screen kisa tuu ana tabia nzuri. That doesnt make sense kwanza sitakuwa nataka kumjua zaidi. Wee set standards zako kwanza ndio uendee further. Lah sivyo unaishia kupoteza muda tuu kama Kelsea anapenda tdh alafu unadate mwanaume mfupi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
We nawe una ubongo kama jiwe huelew yaan 😂 ushanichosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…