saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa.
Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha yao ni ya maana sana au wanapandikiza ukabila. Haya makabila ni mashamba sana na wanajidai wamesoma, wanaboa sana mpaka nimeacha kuwafuatilia nasubiri Rais asimame ndiyo nitarudi kumfuatilia.
Wanajua Rais haelewi kinyakyusa, mbona makabuila mengine hayako hivi? Mjitathmini mnaboa!