Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inasikitisha sana kuona mkoa unaoongoza kwa chakula kuna tatizo la lishe na mambo yanayohusu kiribatumbo.
Ni watu wanaojionaga wao ni Bora sana kuliko kabila nyingine, Leo nimefurahi SSH alivyowaambia kuwa mkoa wa Mbeya una tatizo la lishe, nikajua kuwa inawezekana huwa naongea na wanyakyusa kumbe ni watu wenye utapiamlo