Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

Inasikitisha sana kuona mkoa unaoongoza kwa chakula kuna tatizo la lishe na mambo yanayohusu kiribatumbo.
Ni watu wanaojionaga wao ni Bora sana kuliko kabila nyingine, Leo nimefurahi SSH alivyowaambia kuwa mkoa wa Mbeya una tatizo la lishe, nikajua kuwa inawezekana huwa naongea na wanyakyusa kumbe ni watu wenye utapiamlo
 
Ukabila si jambo la kulichekelea ni unazi mambole(Neo-nazism).Ni aibu mwenyewe akili timamu kuendeleza au kuchekelea. Ni bora afungwe jiwe shingoni akatupwe Baharini
 
Ndiyo matunda ya uchifu hayo kwani hujui aliye fufua uchifu yupo hapohapo
 
Tatizo lako ni kutoujua ukoo wako, baba yako alikuwa konda wa dalala baada ya kumpa mimba mama yako akasepa, mama yako amekulia mjini kwao hakujui zaidi ya hapo anapopika ugali mamantilie. Matokeo yake ya kutokukujua kijijini kwenu unawaangushia hasira wenye makabila kwa kuwaita washamba. Ni mpumbavu tu anayeona eti makabila ni ushamba, na ndicho kimekufanya usiwe na adabu ya kuwaheshimu usiowajua, ungekuwa na ndugu usingeyasema hayo uliyoyaandika.
 
Wana makelele sana hawa.wakiwa wawili tu kwenye basi utadhan sasa wamekodi.
 
Hapa bongo ukabila ni kama maziwa yanayochemka....
 
Nyie ni washamba NO ALTERNATIVE WORD, MSG SENT AND DELIVERED. NCHI HII INA MAKABILA ZAIDI YA 120 WHY U ONLY? SHAME ON YOU! SHEET!!!
 
Nkamu kama hujampenda hiyo kitu Sokapo Hapo.
Wakina Mwaisa tupo hapa nakushangaa hiko kichefchef
 
Nyie ni washamba NO ALTERNATIVE WORD, MSG SENT AND DELIVERED. NCHI HII INA MAKABILA ZAIDI YA 120 WHY U ONLY? SHAME ON YOU! SHEET!!!
Kiswahili kipo na kinakidhi, kwanini utumie kiingereza? Unadhani ndiyo nitakuogopa!
 
Mtoa mada..Hajui asili yake,na wala hapendi kwao, Mbona majina ya Wanyachu mengi ya Madkta, maprofesa na wataalaam mbalimbali hamuogopi kuyaita mkitaka huduma ?.Mgeni akija kwako siku zote mfundishe uzuri wa kwenu sio ubaya. Katika hili wao wameonyesha kuwa chao ni Bora kuliko chamgeni .Kuna maeneo sio Tanzania tu..lazima ukienda utajikuta unajifunza mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…