sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Karibu mtambo wa ushuziItakuwa anapenda unavyojamba,ujue makabila mengine mume ukijamba mkeo anafurahi akijua mumewe umeshiba sana,hiyo inakuwa ndio kama shukrani yako kwake...
BTW makande matam jomonii ukila kwa hamu na ayapike mpishi haswa,utaenjoyy,😋😋
Hujui tu, kaa kimya! Yakiungwa yale kitimoto ugali au ndizi itasubiriYaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika?
Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande.
Hapa naambiwa mme wangu unakula nini mchana huu, ugaliii au makande (hayo makande yalipikwa sijui jana mchana sijui juzi)
Yusufuuuu atayetoka hapo 😀😀
Hajui utamuuu wa kande huyuHujui tu, kaa kimya! Yakiungwa yale kitimoto ugali au ndizi itasubiri
Asante sana Dada yangu!Ninachoyapendea makande ukila utosheki yaani nyumbani nikiyapika ni kula siku mbili nashinda natafuna kama mbuzi haina kupumzika
Kapikiwa mahindi ya kuchemsha anasema makandeHajui utamuuu wa kande huyu
Kile chakula kina maajabu sana kila kinavyozidi kukaa kinazidi kuwa kitamu kinafanana na kisamvuKande hata la siku tatu linalainishwa na maziwa mgando, kazi inaendelea.
Nazi, yaungwe na kitunguu then kando aniwekee nyanya chungu za kukaanga tu bila nyanya wala nini au dagaa wa kukaanga...... Huwa natamani siku hio nisiwe na kazi za usiku maana nalala usingizi mtamu balaaMakande ya Nazi mie apike hata Mara mbili kwa wiki sikinai
Mkuu acha kabisa levo ya kande hata pilau anasuburiNazi, yaungwe na kitunguu then kando aniwekee nyanya chungu za kukaanga tu bila nyanya wala nini au dagaa wa kukaanga...... Huwa natamani siku hio nisiwe na kazi za usiku maana nalala usingizi mtamu balaa
mkuu unaongelea kisamvu kipi hasa hiki chetu pendwa?Kile chakula kina maajabu sana kila kinavyozidi kukaa kinazidi kuwa kitamu kinafanana na kisamvu
Kinachoungwa na nazi mkuumkuu unaongelea kisamvu kipi hasa hiki chetu pendwa?