Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika?

Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande.

Hapa naambiwa mme wangu unakula nini mchana huu, ugaliii au makande (hayo makande yalipikwa sijui jana mchana sijui juzi)
 
Hahaha watani zangu hao ni wachumi

1629294555982.png

Umkute Mshana Jr amekamata huu msosi wa Christmas...

Anajificha kwenda kulia uvunguni kwa jinsi alivyo mchoyo...
 
Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika?

Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande.

Hapa naambiwa mme wangu unakula nini mchana huu, ugaliii au makande (hayo makande yalipikwa sijui jana mchana sijui juzi)
Hujui tu, kaa kimya! Yakiungwa yale kitimoto ugali au ndizi itasubiri
 
Back
Top Bottom