Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

Yanatengeneza constipation unajapa sana
 
Niko radhi nile ugali dagaa 24/7 365 kuliko kula kande mchana na usiku
 
Anajenga kwao huko ugwenoni huyo
 
Ubahili na choyo ni sababu za msingi.

Sababu za nyongeza zaweza kuwa uvivu n.k
 

Makande kwa nafasi ni mazuri, ila yakipikwa kama mbinu ya kupunguza budget pole sana
 
Mimi naweza kuwa kibogoyo zaidi yako,natafunia upande mmoja, lakini nikimuona bimkubwa kapika kande, siwezi kuwazia meno [emoji39], ama anipigie simu aniambie leo napika kande lazima 12 jioni niwe kwake... [emoji23]
Dah mimi naona hicho sio chakula kabisa loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…