Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

Kama unyotaka ku-download high quality pictures katika simu unakiwa MB nyingi, hivyo hivyo katika ubora wa picha katika TV, DSTV wana ubora mkubwa, na bei zao kubwa, Azam wana ubora wa picha wa chini kama inataka kupauka, bei yao chini. Na haya makampuni kuna mahali wanalipia aina ya ubora wa picha wanaoutaka
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Busati la mtoro
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshibq.
Azam movie zao za Mbc sio HD,Richards zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Nadhani ungeweka na bei ya Azam na DSTV maana huwezi kulipa alfu 28 utegemee kupata unacholipa laki moja. ni sawa ukalipe hotel kariakoo kulala alfu 50 utegemee upate service kama Hyatt regency ya laki 3.
 
Mwenye taarifa kamili kuhusu kin'gamuzi cha canal, atupe mbili tatu zake.
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Arise n shine
Upendo fm.tumaini TV
 
Canal itakua na channel za kiswahili?
 
Dstv imekaa unym in short upande wa movies ukija kwenye studio universal, mnet series ukaja kwenye maisha magic aiseee africa magic ni hatari mkuu asa hao azam ni mbc series tu muv zinarushwa nyng za kibongo
 
Kwenye ving'amuzi na futaga mpira basi ndio maana bora utafute kirouter chako cha 5G basi unaangalia ligi zote, unasave gharama za bundle maana nyumbani una unlimited ofisini kuna wireless. Azam sema channel zao wazificha sana,ndio maana nina king'amuzi chao.Ila DSTV hii 5G na 4G inawatoa sokoni polepole,sijakilipia nina mwaka wa pili huu,mwendo wa kustream tu online.Kuhusu movie na series kuna website zipo movie utizama free hulipii hata senti.
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Azam wana kifurushi kuanzi
10k, 17k, 25k na 35k

Dstv wana vifurushi kuanzia
10k, 25k, 37k, 64k, 110k na 175k

Tuambie mkuu umefanya ulinganifu kwenye vifurushi vipi?
 
Hio 175,000 Natanani nilipie nione one day kuna nini
 
Hapa naangalia M4 Kwa 37,000 Dstv
 
Attachments

  • 20240815_192406.jpg
    20240815_192406.jpg
    1.8 MB · Views: 12
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Dunia ya sasa hivi unaangalia unachotaka sio kuwekewa movie na mtu utazame. Tafuta Android Tv au google TV angalia unachotaka.
 
Back
Top Bottom