binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam kafika Nigeria na Ghana? Mfano tu wa nchi ambazo EPL inauza sana kwa AfricaAzam nao wamepandisha toka 25k hadi 28k
Dstv nawapenda kwenye quality na kunakoelekea azam atapata acess ya kuonesha epl na hapo ndipo atawagaragaza mbali sana dstv
Busati la mtoroSalam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Nadhani ungeweka na bei ya Azam na DSTV maana huwezi kulipa alfu 28 utegemee kupata unacholipa laki moja. ni sawa ukalipe hotel kariakoo kulala alfu 50 utegemee upate service kama Hyatt regency ya laki 3.Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshibq.
Azam movie zao za Mbc sio HD,Richards zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Arise n shineSalam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Hata mimi nishaitupilia STORE mkuu, mimi sio mpenzi wa ma mipira so niliinunua kwa mkumbo tu baada ya kuona watu wengi wameinunua, nikajua ina chanel za maana, kumbe nje mipira ni takataka tupuMI NLISHAITUPA STORE. NI BURE KABISA HAINA KITU.
Hivi hawana option ya lugha ya kiingereza?Canal + ndo kila kitu. Mchawi kifaransa tu
Baki na unachoamini na Mimi nabakia na ninachokiaminiHakuna kitu mule zaidi ya mpira wa ulaya,hicho kifurushi cha 50,labda vifurushi vya juu vina movie nzuri
Azam wana kifurushi kuanziSalam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Dunia ya sasa hivi unaangalia unachotaka sio kuwekewa movie na mtu utazame. Tafuta Android Tv au google TV angalia unachotaka.Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.