Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Azam nje ya kuonesha mpira wa Ligi kuu ya Tanganyika; hakuna kitu kingine cha maana cha kunivutia mteja kama mimi.Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
