FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Ouwh! Ndio maana wakawapendelea wakasema tuishi nanyi kwa akili ee[emoji848][emoji848]Mkuu sisi hatutabiriki. Utaona tunacheka kumbe tunalia.. Hawezi tujulia[emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ouwh! Ndio maana wakawapendelea wakasema tuishi nanyi kwa akili ee[emoji848][emoji848]Mkuu sisi hatutabiriki. Utaona tunacheka kumbe tunalia.. Hawezi tujulia[emoji39][emoji39]
Ouwh! Ndio maana wakawapendelea wakasema tuishi nanyi kwa akili ee[emoji848][emoji848]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]mwingine anaweza jifany smart...very clean kumbe mchafu haosheki..thats women![emoji4][emoji4]
Hahahahaahahaha. Acha basi kashfa
[emoji849][emoji849][emoji36][emoji36][emoji2962]hahahhaah...ishini na sisi kwa akili la sivgo mtalia tu...dadeq
Karibu somo yanguAsante kwa kunitahadharisha somo wa mie, ila si unajua akili yangu nyembaba.. Nitakutafuta unipe maujuzi ya kuwagundua marafiki wabaya
Ouwh! Ndio maana wakawapendelea wakasema tuishi nanyi kwa akili ee[emoji848][emoji848]
Humu wema wengiii
Ninii...Mmmhhh hebu ngoja kwanza
Ndiyo mkuu. Ukiona tunalia usitubembeleze pengine ndiyo tunacheka.
Safe and sound chief[emoji1477]Hahahahahahaah! Thats right
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Bado najifunza tu.
Daaaamn very confusing and controversial[emoji378]Ndiyo mkuu. Ukiona tunalia usitubembeleze pengine ndiyo tunacheka.
Kwa kweli... Kumbe hata mkibebishwa na milines na michorus mnakuwa mnatuchora tu eti.jifunze taratibu usiwe na pupa... hatusomeki[emoji4]
Sisi ndiyo sisi wengine mafisi.Daaaamn very confusing and controversial[emoji378]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ndiyo sisi wengine mafisi.
Watu tunalia uongo hadi kitandani[emoji39][emoji39][emoji39][emoji38][emoji38][emoji38][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].kama hujui utajiona fundi.Kwa kweli... Kumbe hata mkibebishwa na milines na michorus mnakuwa mnatuchora tu eti.
Kwa kweli... Kumbe hata mkibebishwa na milines na michorus mnakuwa mnatuchora tu eti.[/QU
kifupi hatujui tunataka nn...
Sisi ndiyo sisi wengine mafisi.