Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 560
- 756
Habari wakuu .
Weekend ya leo iko poa sana twende kwenye lengo la thread hii. Unakuta msichana mnapangana kabisa kesho anakuja kutoa utelezi alafu ikifika mida ya kuja text ajibu call apokei inakuaje si bora umpange mtu mapema kama ato kuja just imagine jana mida ya night naona namba ngeni inanicheki akajitambulisha kwa jina la Marry ni pisi flani hivi apo kati nili muelekeza akawa anaingia kwenye mfumo kakubali anasema anakuja ikifika siku asubh mnachat vizuri ikifika mida ya promiss ajibu ndy hvyo alafu baadae mambo kama ayo dakika za jioni simu ashiki text ajibu yani .
Kwanini wasichana mabinti wanavitabia hivyo hii mara ya pili wakuu hii
Hiyo situation mnakabiliana nayo vipi maana inakera sana .
Na kwa girls mje mjibu sasa kama ningekua nime mpakia si ingekua noma kwangu nawasilisha