Ndivyo wengi walivyo hawaelewekiHapo akili za wanawake zinashangaza wakati unamzingatia analeta ussenge ukimpotezea anaanza kujileta tena
Sana aisee, yani mnaojiboost hakikisheni mbaka demu kaja geto kabisa ndiyo ujiboost.Umepiga kwenye mshono! Kama demu kazingua kuja haiwi kesi unaendelea na mishe zako ila kama ulijiboost kazi ipo!
Jifunze kupotezea mambo uniambie unakuja kwangu poa tu usipokuja napo poa tuu nikichoka hata kuchati naacha kabisa najibu sms nikijisikia tuuIyo Sio shida yangu yeye kasema mwenyewe anakuja kwahyo me nikusikilizia ujio wake kiufupi akiniona anajikosha tu
Aisee 🤣Wanaume utamu tunao wenyewe, tunafata kwa wanawake ni utelezi tu.
Save Pesa na muda kwa kutumia nyenzo yoyote yenye utelezi laini, Mafuta ya nazi, lotion na hata ukibidi sabuni hakika haya mapovu hutotoa kamwe, kwanza kunyandua kunapunguza siku za kuishi.