Hivi wasichana inakuwaje mnatoa ahadi kuwa unakuja kutoa utelezi halafu dakika ya 90 mnakula kona?

Hivi wasichana inakuwaje mnatoa ahadi kuwa unakuja kutoa utelezi halafu dakika ya 90 mnakula kona?

Woman are naturally attracted to alfa males that don't chase them,and are not attracted to beta males that chase them,
It's their DNA to disqualify those who chase them,
 
🤣 wanakera sanaaa
Sasa unakuta kama uyo aliekataa kuja kana wivu balaa paka unaweza kusema uyu kweli uhakika lakini ni vitu viwil tofauti unapewa hamasa tu nakuja ikifika mda anakula kona
 
Wiki mbili zilizopita kuna pisi moja tumepangana vyema kabisa nikatuma na nauli, ghafla kimya kumbe alikuwa busy na simu sana jamaa yake akamshtukia. Kachezea kichapo usoni hafai akataka kunirudishia nauli yangu niliyomtumia nikamgomea.

Kuna tukio lilitaka nitokea juzi nitaleta hicho kisa humu, ila sikupata usingizi kwa amani siku 3 mfululizo
Kuna siku utaliwa jirani 😹😹
We endelea kunyapia mizigo ya watu..!!
 
Kitu kingine nyie wanaume wa kiswahili mnapaswa kua wastaarabu, hebu mualike binti kwa chakula cha jioni, nendeni mgahawa hata wa bei rahisi tu, mkifika hapo kuleni mpatie na zawadi hata ya ua au chocolates, kisha mruhusu aondoke uone kama next weekend ukimuita geto haji,

Mabinti wengi hua wanapenda kujihisi kuheshimiwa na kufanywa special, sio chatting tu unaanza "kesho njoo basi tupeane utamu, nina upwiru kama mwaka hivi" atakuitikia na kukupanga ila kama anajielewa haji ng'ooooooo.
Kuna mkoa nipo hizo za out na respect wanakuona miyeyusho. Inabidi uadopt kwamba way forward ni kumuita ghetto. Na akiuliza nakuja kufanya nini ukisema kuchill haji.

Nilikua sijajua code. Mtu ananiuliza 'Kuchill tu?' nikakubali kumbe kosa, inabidi umwambie huku unakuja motoni ndiyo anakubali.
 
Iyo true mkuu
 
Mkoa gani huo na mie nije
 
Ndiyo uache kutegemea mkongo au Viagra sijui au madawa mengine ya ku-boost power, wewe tumia vyakula na matunda tu na vitu asilia kuimarisha afya yako ya kiumeni, ili hata demu akikuzingua asipokuja basi isiwe kesi.
Umepiga kwenye mshono! Kama demu kazingua kuja haiwi kesi unaendelea na mishe zako ila kama ulijiboost kazi ipo!
 
Hawaeleweki kabisa huyu nilimwambia straight, pesa anataka alafu bado kaniweka pending na nilikuwa namzingatia sana nikaona ananipotezea tu muda. Sasa hivi anapiga simu na kutuma sms kama nna figo yake.
Hapo akili za wanawake zinashangaza wakati unamzingatia analeta ussenge ukimpotezea anaanza kujileta tena
 
Back
Top Bottom