Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3 yearsMjukuu wako ana umri gani sasa hv
Mjukuu wako ana umri gani sasa hv
Kona Baa Secondary schoolNazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
Wacheki taasisi ya elimu ya watu wazima au nenda halmashauri idara ya elimu msingi muone afisa elimu watu wazima.Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
We umeona mtoto kwani mtoto kawajehuyo binti na hicho kikundi cha wajinga wanaochukua hiyo habari wanafahamu haki za watoto mitandaoni